Pole sana Da Sophy!
Hapa napata picha na mitazamo tofauti kabisa. Kupata mchumba na kisha kuolewa si kitu chakuamua wewe mwenyewe na kutekeleza. Pana kudra na matakwa ya mweyezi Mungu.
U- binadamu nao unasumbua, ka wizi kama hako si mbaya sana. Nakushauri wakati unaendelea na ka wizi hata uangaze angaze macho yako ukipata kijana unayeridhika nao, ung'ang'anie mpaka akuoe.
Katika suala la kupata mme au mke hutapata mtu mwenye vigezo vyote unavyovitaka. Angalia yale mambo makubwa na ya msingi pekee. Pia nakushauri utafute kitabu kiitwacho "Definitive body Language". Naamini kinaweza kutoa mchango mkubwa kuelekea maisha yako ya kuolewa.
Mchana mwemw