Kama natoka na mumeo...

Da Sophy, wewe ni Concubine - unafanya zinaa na Mume wa mwanamke mwingine na bado unataka kujifanya kuwa huyu mwanamume ni mumeo! WTF!
 
Jiandae Dadushka.Utakuwa bodigadi wangu kwani unaanza kunitisha ,meku anaonekana makeke huyu.

hhahaaaa afu wewe siku hzii unanichekesha sana lol!!!

haya bibie I will watch ur back
 
Hivi na Waberoya naye si yuko huko? Mi dunno! Nacheza na misale ya waumini ndiyo katiba yangu

huyo jamaa muda mrefu haonekani, inasemekana mgomo wa tucta ulipositishwa yeye akaamua kugoma kuingia JF , (chanzo cha habari hizi bado ni tata)
 
Hii unayofanya ni zaidi ya uchangu - inakaribia sana na wale akina dada/mama waliokuwa wanaweka vibatari kule buguruni wakiuza *chi zao. Unapodiriki kuchapana na mwanamume ambaye una uhakika ameo then in comparison better changudoa maana yeye amekaa kibishara zaidi!
 
hhahaaaa afu wewe siku hzii unanichekesha sana lol!!!

haya bibie I will watch ur back

Nakuchekesha tena? mie nimekonekti doti zako uliposema unamstahi Meku........ndio hapo nikaanza ona wasiwasi.Usijali Meku.....Usijeogopa watu wa Ikwiriri.
 
Nakuchekesha tena? mie nimekonekti doti zako uliposema unamstahi Meku........ndio hapo nikaanza ona wasiwasi.Usijali Meku.....Usijeogopa watu wa Ikwiriri.

nimekusoma sweetushka.....huyu Meku huyu........

wewe usitie shaka mimi na wewe tena, blood blood!!!
 
Da Sophy, wewe ni Concubine - unafanya zinaa na Mume wa mwanamke mwingine na bado unataka kujifanya kuwa huyu mwanamume ni mumeo! WTF!

Okey, amekusikia.What a F***.
Auze tu tujue bana!
 
Baba Enock samahani hiyo signature yako ndivyo ilivyotamkwa na mh. Rahisi? Kuwa yaani hata kura zenu waume zetu na za kwetu wake zenu tusipoipa sisiem itashinda tu?? Aliyasema hayo kama yalivyo au umeongezea chumvi??
 
Ni kweli aliongea hivyo huku akishangiliwa na wale wazee wakukodi kwa sh 20,000
 
Baba Enock samahani hiyo signature yako ndivyo ilivyotamkwa na mh. Rahisi? Kuwa yaani hata kura zenu waume zetu na za kwetu wake zenu tusipoipa sisiem itashinda tu?? Aliyasema hayo kama yalivyo au umeongezea chumvi??

Hata mie imebidi nisome hiyo signature tena, kweli presidaa tunaye..Akili zake ukichanganya na za Da Sophy sijui utapata nini?!!!!..huh!!
 
Nimekuta hii ishu imezungumziwa pia kule kwa Dina Marios ... nimeona mabandiko kama ya da sophy yafuatayo ...

mwingine huyu ...

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…