Nani kakuambia tunashea? Yule anayemwita mkewe kwani anafanya nini zaidi ya kumfulia nguo na kumtandikia kitanda mwenzie apumzike baada ya kunitimizia mpenzie wajibu. Ni kwamba pale anakwenda kulala tu, na siku mojamoja kupozea ile kidogo ya kutunzia nyumba, mwanamke mwenyewe hovyo, ni kwamba tu ndoa za kikristo zina kasoro hiyo huwezi kumwacha lakini pale ni hana mke.
Unaulizia kutongoza wengine, ataanzia wapi? Alivyoshikwa uzuri anajua mwenyewe, hafurukuti hata chembe. Hivi unajua kuna siku huwa nafanya kabisa bidii kumfukuza aende kwa mkewe maana sasa keshakuwa kama zuzu, analia kama mtoto kujutia alivyovaa mkenge wa huyo asiyejua maana ya kuolewa.
Na sikufichi namkamua kisawasawa. Yaani ni makamuzi ya kiukweli. Sigusi pesa yake, mie langu penzi tu. Yaani huyo mkewe angejua mumewe anamsemaga nini kwangu wakati ninapompa wallahi angewehuka, acha tu asijue. Na tumekubaliana kutunziana heshima, kwa hiyo suala la kujulikana ni hakuna. Kama ni wewe dada bht uwe na amani tu dear, hutojua kamwe.
huyu Buzi wako Mbeya na ukitaka kujua hana adabu kwanini anamsema mkewe mbele yako ..nahisi na wewe huwa anakusema kwa friends zake
Tatizo nina hangover kamanda. Sasa hangover ikichanganyika na maupupu ya vimeo kama hivi inakuwa balaa.
Hivi wadudu wa malaria hawawezi kuangamizwa na valeur?
huyu Buzi wako Mbeya na ukitaka kujua hana adabu kwanini anamsema mkewe mbele yako ..nahisi na wewe huwa anakusema kwa friends zake
Nani kakuambia tunashea? Yule anayemwita mkewe kwani anafanya nini zaidi ya kumfulia nguo na kumtandikia kitanda mwenzie apumzike baada ya kunitimizia mpenzie wajibu. Ni kwamba pale anakwenda kulala tu, na siku mojamoja kupozea ile kidogo ya kutunzia nyumba, mwanamke mwenyewe hovyo, ni kwamba tu ndoa za kikristo zina kasoro hiyo huwezi kumwacha lakini pale ni hana mke.
Unaulizia kutongoza wengine, ataanzia wapi? Alivyoshikwa uzuri anajua mwenyewe, hafurukuti hata chembe. Hivi unajua kuna siku huwa nafanya kabisa bidii kumfukuza aende kwa mkewe maana sasa keshakuwa kama zuzu, analia kama mtoto kujutia alivyovaa mkenge wa huyo asiyejua maana ya kuolewa.
Na sikufichi namkamua kisawasawa. Yaani ni makamuzi ya kiukweli. Sigusi pesa yake, mie langu penzi tu. Yaani huyo mkewe angejua mumewe anamsemaga nini kwangu wakati ninapompa wallahi angewehuka, acha tu asijue. Na tumekubaliana kutunziana heshima, kwa hiyo suala la kujulikana ni hakuna. Kama ni wewe dada bht uwe na amani tu dear, hutojua kamwe.
Kabisa Da Sophy umetulia mwenyewe na mume wa mtu. Nashangaa hawa wengine wanaanza kutuma applications zao!! Wakuache mwaya.
Babu meshikia??? Da Sophy kajituliza hataki maneno na mtu ndo maana kapoa na mume wa mtu!!
Da Sophy you better check yourself kwanza maana I dont understand mtu mwenye kuamua kutoka na mume wa mtu then aseme ametulia!!!
Na mi nilitaka kumuuliza hivyo hivyona wewe wa kwako tukitoka naye itakuwaje????
Mmmh! Da Sophy yaelekea wewe ni binti wa mwambao wa Pwani, Tanga, Mombasa au Z'bar. Mabinti wa maeneo hayo acha kabisa, yaani ugali moto, mboga moto!
Ni nini hicho unachompa mpaka aweweseke?
Nimetulia na mpenzi mmoja. Kipi kigumu kuelewa hapo. Nimetulia, bwana wangu ni huyo mmoja nimeridhika naye. Anayetaka kuchunguza akijua haitamfaa lolote zaidi ya kujipa presha tu.
Ni nini hicho unachompa mpaka aweweseke?
Anapewa tiGo
aah kweli leo umechukia hata wewe
Hahahahahahahah usiulize jibu bwana Masaki!!! Mjini Tigo maliiiii