Kama natoka na mumeo...

Kweli weekend imekaribia...lol! na ninahisi huyop Dasophy sio kweli anafanya hivyo ameamua tu kuwarusha watu roho!

Ila anayoyasema ni kweli yapo nayatokea nawengi wetu yameshatutokea nadhani ametukumbusha tu kuhusu hili janga. pia tujiulize
1. kwanini wanaume wengi siku hizi wanapenda kutoka nje ya ndoa za?
2. kwanini sie kinamama huwa tunajisahau sana hadi waume zetu wanatafuta njia mbadala?
3. je ni kweli wanaume hawaridhishwi na wake zao ama ni tamaa?
4. je sie kina mama tumeridhika na ndoa majukumu yetu tunashindwa?
 
kwa kweli, wanajazwa micfa ya kijinga bac wanaona ufalme wa mbingu ni wao...

Sio kama ni misifa,ni wanajua kabisa ni uongo lakini mtu anajifariji tu .Sidhani kama kweli mtu anaweza eti 'kukupenda'wakati ana mke wake wa ndoa aliyemchagua kuwa naye maisha yake yote.Yani utabakia tu kuwa SPEA TAIRI
 
Nimehaeribu appetite yangu ya kula leo siendi lunch
 
He! hebu subiri:

Samahani dada/kaka Da Sophy naomba kukuliza kitu kimoja:

Wewe ni he/she?

Kama ni he, huyo basha mme wa mwanamke alikupatia kwenye danguro gani?

Kama ni She huyo mume wa mwanamke mwenzio alikupatia mitaa ipi? Jolly Club au Ohio Street?

Sikuombi samahani kwa kuwa nina uhakika sijakukwaza.
 

heeeee!! weeeee! acha hasira. kama hivo tu hujaibiwa, ukiibiwa si ndo itakuwa balaaaa!
nyie ndo mnavaaga bukta na panga la buchani eeh!!
 
Jamani.. Da Sophy kaleta hii sredi mbele yenu mumshauri afanyeje na yeye katongozwa na mume wa mtu.. Kwanza nakupa BIG UP kwa kusema kweli yote. Unachotaka wewe ni kuhalalisha mume wa mwenzio awe wenu huku wewe na huyo mwanamme hamumvunjii heshima mai wife wake. Sio rahisi huyo mwenye mume kukaa kimya akiona tabia ya mai hazband wake imebadilika. Muhimu Da Sophy achana na huyo mume.. Mungu atakusaidia, utampata wako.
 
heeeee!! weeeee! acha hasira. kama hivo tu hujaibiwa, ukiibiwa si ndo itakuwa balaaaa!
nyie ndo mnavaaga bukta na panga la buchani eeh!!

kuna wakati inabidi...sasa ukumbane na rabsha kama hii inakuwaje hapo.
 
heeeee!! weeeee! acha hasira. kama hivo tu hujaibiwa, ukiibiwa si ndo itakuwa balaaaa!
nyie ndo mnavaaga bukta na panga la buchani eeh!!

aaah b kiukweli huyu gubeli ananiudhi ngoja nimwache tu ila akiingia kwenye 18 zangu....ama zake ama zangu (thats the bottom line)

tabia mbaya sana kuwang'ang'ania waume za wenzao aaah!!
 

huyu Buzi wako Mbeya na ukitaka kujua hana adabu kwanini anamsema mkewe mbele yako ..nahisi na wewe huwa anakusema kwa friends zake
 

heheh kamanda naona antenna imechanganya channels hapo juu. ZIMUA KIDOGO.
 
Hivi kama mimi natoka na mumeo lakini tumehakikisha hujui wala hatukuvunjii heshima, simchuni wala nini ni kwamba tunapendana ni vile dini ya kikristo hairuhusu wake 2 sasa wewe unamchunguza wa nini?

Wanachunguza kwa sababu mambo unayomfanyia ukiwa naye anakuwa hana hamu tena ya kunanihii akirudi nyumbani. Mara unampa tigo na mapenzi mengine tofauti ambayo nyumbani labda hatapata akirudi huko hataki hata kumgusa mkewe na hivyo kuweka distance kati yake na mkewe na kuweza kusababisha hata kuachana. Pia haijulikani unatoka na waume za watu wangapi hivyo unaweza kabisa kuwa ni msambazaji wa ukimwi hivyo kuchunguza inasaidia pia katika kujikinga na mawayawaya.
 


hivi wewe kuna mahali umeona ameomba ushauri afanyaje?...mie naona anajipongeza mana anampa uyo mume wa mtu vitu cjui adimu/vitamu mpaka mume anapagawa anatoa cri za mkewe....wapi kaomba ushauri tumshauri?
 

Hapo ndipo ninakokupendea,lazima uwe matron wa mchumba wangu mtarajiwa....teh teh teh
 
heheh kamanda naona antenna imechanganya channels hapo juu. ZIMUA KIDOGO.
Tatizo nina hangover kamanda. Sasa hangover ikichanganyika na maupupu ya vimeo kama hivi inakuwa balaa.

Hivi wadudu wa malaria hawawezi kuangamizwa na valeur?
 

haaa hakunaga hiyo, hizo ndio wanapigiwa hadithi huko bac anajitutuma mpaka darini akidhani ndio mwisho wake wa kufanya matuc, huyo akija nyumbani anapewa mapenzi halali kabisa tena mazuri ya kistaarabu yacyo na shaka.
 
Da Sophy leo umeniacha hoi.....
kama unatoka nae we toka tu.....
Endelea kula urojo wa mwenzio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…