Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,330
- 33,954
Mwalimu Julius Nyerere kwenye moja ya hotuba zake aliwahi kuifananisha CCM na kokoro ambayo ni nyavu inayonasa kila kitu pamoja ya uchafu wa majini.
Kwa maana nyingine Mwalimu aliona CCM ina wanachama ambao hawastahili kuwemo CCM lakini wamo. Kama Mwalimu Nyerere ambaye muasisi wa CCM aliiona CCM kwa jicho hilo la mashaka. Wewe ni nani unayeitetea CCM kwamba ni safi?