Ccm ya sasa tofauti na ya mwalimu nyerere pamoja ni wale wale

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Kwanini tofauti ccm ya zamani hilikua ya kila mtanzania hila hii ccm ya sasa ni ya kina mwigulu January Kikwete n.k. sisi wengine huku mitaani tunaojifanya ccm tunajipendekeza tu kuwa ccm lakini ccm yenyewe haitutambui mfano kuna uchaguzi wa chipukizi ccm wenyewe mmeona hakuna mtoto wa mkulima wote watoto wa viongozi na matajiri hawa ndio wenye ccm yao na ndio wanaokula matunda ya ccm hawa hawana shida ya kupanda mafuta wala kupanda kwa nauli wala kupanda kwa sukari hawana na hawawazi wakiumwa watatibiwa wapi shule wanazo soma wao hazina uhaba wa madawati wala uhaba walimu hawa ndio wanaoweza kujiita ccm yani ccm ina wabeba wao sio wao wanao Ibeba ccm hawa huwa kuti mda wote kukaa vijiweni kuisifia ccm wao mda wote wapo Bize na masomo na wakishamaliza masomo wanakuta teari wazazi wao washawa andalia nafasi za uongozi hawa ndio hilitakiwa wapambane kuitetea ccm kwasababu wana faida nayo lakini ajabu hiliokuepo wanao ipigania ccm wengi wao hawana faida na hio ccm utakuta jitu linapambana huku mtaani kuipambania ccm kwa hali na mali lakini ccm anayoipambania hata faida nayo hana utakuta baba zima linawa ambia wanae ccm ndio imetulea kwahio wanangu pambaneni na yoyote anaeisemea mabaya ccm halafu utakuta lina lalamika michango shuleni imezidi hospitali dawa hakuna maji ya shida maisha magumu lakini bado utalikuta kwenye banda lake bovu ukija upepo bati linafunuka yani hata uwezo wakueka bati mpya hana nisumari kaeka mijiwe lakini bado utakuta kwa pembeni kaeka bendera la ccm linapepea mtu kama huyu anajiita ccm lakini wenye ccm yao ambao wanapata faida kupitia ccm hukuti nyumba zao zikipepea bendera za ccm yani wanayo faidika nayo wengine na wanayo ipambania wengine ajabu sana sijui nani katuroga hivi naomba niku ulize wewe unaojiita ccm hivi unafikiri ccm inakutambua wewe au unajipendekeza tu kwa ccm hivi kati yako na viongozi na wa ccm pamoja na watoto zao unafikiri nani halistahili kuipambania ccm narudia tena ccm hii ya sasa si yawatanzania wote ni ccm ya viongozi na watoto wao wewe kuwavalisha watoto wako mijezi ya ccm ni kujipendekeza tu kwa wenye ccm yao lakini wao wala hawakutambui ccm ya sasa tofauti na hile ya 1977
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom