Kama Mungu yupo basi hataki tumjue

Kama Mungu yupo basi hataki tumjue

😂😂😂😂.... Dah, Yaa Bin Adam
Binadamu ni neno lililotoholewa kutoka kwenye dini
Lakini limeshafanywa kuwa neno la Kiswahili likimaanisha "Mtu" kwa hiyo hata kama huamini kuhusu story za Adam bado unaweza kulitumia neno "binadamu" kama maneno mengine tu ya Kiswahili
 
Uliumbwa au una amini asili ya chimpanzee
Naamini vitu vilivyothibitishwa na Sayansi
Sayansi haijathibitisha kuwa tumetokana na chimpanzees, ila inataja hiyo kama moja ya theories zinazoelezea asili ya binadamu. Kumbuka kwenye Sayansi ipo hadi hiyo stori ya "Adamu na Hawa", inaitwa Religious theory. Lakini zote hazijathibitishwa and the real answer remains unknown
Ninaamini katika evolution kwa sababu ina ushahidi, ni kweli tuna evolve kadri miaka inavyoenda, lakini siwezi kujua ukianza kurudi nyuma mamilioni ya miaka binadamu alikuwa katika hali gani, sijui kama alikuwa chimpanzee au la

And just because sijui, haimaanishi napaswa kutunga story to cover it up
 
hahahaha mkuu..
 
Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu

Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.

Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia kwa wakati wake, tena sasahivi kuna teknolojia habari zake zingesambaa jwa kasi among people. Kuliko kutegemea eti watu wataamini uwepo wake kupitia story za vizazi ambavyo hatuna hata uhakika kama vilikuwepo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuelekeza mwenyewe. Leo kuna Ukristo, uislamu, Buddha, Uhindu na bado kuna atheist ambao hawaamini, na Mungu anaonekana hata hajali. Maana angekuwa anajali angekuja kutuambia namna sahihi ya kumuabudu ni ipi, na angekuja kuwasihi wasioabudu waanze kumuabudu

Lakini yupo kimya miaka yote hii, maana yake hataki usumbufu. Tupunguze umbea na kujipendekeza
Tatizo mnamwamini Mungu wa Izarel au Mungu Allah wa Mudi wakati nyie sio waisrael Wala waarabu. Mtamtafuta sana na hayltakionyesha ng'o. Cha muhimu tafuta Mungu wa mazingira yako ya asili utamuona Tena wapo wengi tuu.
 
Kuliko kuhangaika kutafuta Mungu wa asili si bora tu niendelee kuwaza mambo mengine
Tatizo miungu yote imejificha, sijui inatuogopa 🙄
 
Tatizo mnamwamini Mungu wa Izarel au Mungu Allah wa Mudi wakati nyie sio waisrael Wala waarabu. Mtamtafuta sana na hayltakionyesha ng'o. Cha muhimu tafuta Mungu wa mazingira yako ya asili utamuona Tena wapo wengi tuu.
Dah😂. Sasa akija shetani utawezaje kutambua bro
 
Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu

Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.

Angekuwa anataka tumjue angejionesha au aongeonesha ishara kuwa yupo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuambia sisi direct, kila kizazi angekiambia kwa wakati wake, tena sasahivi kuna teknolojia habari zake zingesambaa jwa kasi among people. Kuliko kutegemea eti watu wataamini uwepo wake kupitia story za vizazi ambavyo hatuna hata uhakika kama vilikuwepo
Angekuwa anataka tumuabudu angetuelekeza mwenyewe. Leo kuna Ukristo, uislamu, Buddha, Uhindu na bado kuna atheist ambao hawaamini, na Mungu anaonekana hata hajali. Maana angekuwa anajali angekuja kutuambia namna sahihi ya kumuabudu ni ipi, na angekuja kuwasihi wasioabudu waanze kumuabudu

Lakini yupo kimya miaka yote hii, maana yake hataki usumbufu. Tupunguze umbea na kujipendekeza
Una hoja kidogo, lakini 98.1% ya ulichokiandika ni Nonsense.
 
Mungu uwepo wake ni kama umeme katika mifumo ya nguvu, huwezi kuona voltage and current kwa macho .Bali tunaona matokeo mfano.Ukiwasha taa unachoona ni mwanga .Mungu uwepo wake huthibitika katika matokeo na michakato .
 
Uwepo wa Mungu unajidhihirisha kupitia matokeo yake, hata kama haonekani kwa macho ya nyama.

Hapa kuna mambo machache yanayounga mkono wazo lako:

1. Mungu ni Roho
Kama vile ambavyo huwezi kuona upepo lakini unaona miti ikitikisika, au huwezi kuona uhai wenyewe lakini unaona kiumbe kinachopumua na kutembea, maandiko yanasema Mungu ni Roho.

Yohana 4:24: Inasema, "Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli".

1 Timotheo 1:17: Inamwezea Mungu kama "Mfalme wa milele, asiyekufa, asiyeonekana".

2. Uhai Unatoka kwa Mungu
Katika imani nyingi, uhai si kitu kinachojitegemea, bali ni sehemu ya uungu.
Ndani yake kuna uzima:

Biblia inasema katika Yohana 1:4 kuwa "Ndani yake ndimo ulimokua uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu".

Chanzo cha kila kitu:
Uhai unachukuliwa kama uthibitisho wa nguvu ya Mungu inayotenda kazi ndani ya viumbe vyote.

3. Kuona Kupitia Kazi Zake
Huwezi kumwona Mungu uso kwa uso na kuishi katika hali ya kawaida ya kibinadamu. Badala yake, tunaona uwepo wake kupitia:

Uumbaji: Kila kitu kilichopo duniani ni alama ya "fundi" aliyeziunda.
Dhamira/Nafsi: Ile sauti ya ndani na uhai unaotufanya tuwe na ufahamu ni ishara ya kitu kikubwa zaidi ya mwili wetu tu.

Wazo lako linatukumbusha kuwa imani ni kuamini kile ambacho huwezi kukiona kwa macho, lakini unakihisi na kukishuhudia kupitia nguvu ya uhai inayokuzunguka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom