BAKITA ikubali kutohoa maneno ya kigheni, haswa kwa maneno yaliyo common mfano computer iitwe TU kompyuta sio mpaka ipatiwe msamiati wake. happy unakuwa unachanganya watu.Kiswahili kwa Sasa hakina msamiati wa kutosha kukidhi matakwa ya elimu ya juu na teknolojia mpya.
Hivi endoscopy kwa kiswahili inaitwaje? 😅
Jina lako na comment yako vinafanana sn.Lugha ya kiswahili ni lugha ya KIMASIKINI.
Dunia ya Sasa bila kiingereza ni wazi utapata tabu sana huu ndo ukweli mchungu
Jina lako na comment yako vinafanana sn.
Kiswahili sio lugha ya kimasikini,Ulishawahi kwenda kuomba kazi ukafanyiwa interview kwa kiswahili?
Kozi mnazosoma vyuoni mnasoma kwa kiswahili?
ACHENI UNAFIKI
Kiswahili sio lugha ya maendeleo.
Vilaza ni wengi snAliyeandika mitahara sio mimi lakini,Mimi nimemnukuu tu ila naona karekebisha tayari.
Bila Kiingereza hutoboi mazee tuache utaniUkoloni bado upo kwenye akili zetu. Hatuwezi badili hili.
Kiswahili sio lugha ya kimasikini,
Tengua kauli yko.
Wakati wazungu wakifanya juhudi kujifunza Kiswahili ,
Sisi wenye lugha yetu hatujitambui.
Kiswahili ndy lugha ya asili ya muafrica inayoongewa na watu wengi kwa sasa Africa,,
Ukiindoa English,na french,Arabic ,
hakuna lugha inayoongewa na inchi nyingi afrika kama Kiswahili.
Kiswahili ni lugha ya kuweka watu pamoja ,
Leo Kiswahili kinafundishwa darasani south Africa,
na Botswana.
Kiswahili kinapewa airtime redio za Marekani, Germany na England ,
Huku baadhi ya inchi ya wazungu wanafanya juhudi kujuwa Kiswahili wenye lugha yetu bado tunaabudu utumwa wa lugha za wazungu.
Leo tumebaki njia Panda Kiswahili hatujuwi wala kingereza/French/Germany/Spanish/Portuguese hatujuwi.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Nenda kwenye interview bila vyeti vya taaluma husika uone kama hicho kingereza chako kitakusaidia kitu.ulishawahi kumuona mzungu anakwenda kwenye interview akaulizwa kwa kiswahili?
Nenda kwenye interview bila vyeti vya taaluma husika uone kama hicho kingereza chako kitakusaidia kitu.
English ni lugha kama lugha zingine.
Wacha kuabudu utumwa..
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Kiswahili kilitumika na Nyerere kama tool ya kimkakati kuunganisha watanzania waliokuwa na lugha mbalimbali za makabila yao. Nakumbuka enzi hizo mnakutana Form 1 wanafunzi waliotoka maporini hata Kiswahili ilikuwa shida.Kiswahili ni lugha ya kufundishia shule za msingi lakini wengi wenye kipato na wasomi na wenye madaraka hawasomeshi watoto wao huko.
Wanaoanzisha shule binafsi wanatumia kiingereza kama lugha ya kufundishia.
Hata watanzania maskini wangependa watoto wao wasome kwa kiingereza.
Serikali ilazimeshe watu? Huoni kwamba watu wanataka kiingereza na sio serikali pekee?
Hata ikipitishwa sheria bado watu watawahamishia watoto wao nchi jirani kwenye hicho kiingereza.
Tusiilaumu serikali.
Kuna watu wanagapi wana vyeti vya taaluma na kuongeza kingereza kwa ufasaha hawajuwi?Hyo taaluma husika unafundishwa kwa kiswahili?
Kuna watu wanagapi wana vyeti vya taaluma na kuongeza kingereza kwa ufasaha hawajuwi?
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Ukimuangalia sana utakuta mwanae anasoma "English medium".Ajabu hata Kiswahili chenyewe hukijui. Eti mitahara! Neno sahihi ni mitaala.
Wote wanaopiga debe Kiswahili kitumike lugha ya kufundishia katika ngazi zote za elimu ni wanafiki. Watoto wao wanasoma English medium!Ukimuangalia sana utakuta mwanae anasoma "English medium".