Kama ikitokea nimeoa sitamsaliti mke wangu

Kama ikitokea nimeoa sitamsaliti mke wangu

hata mchezaji alieko benchi hulaumu na kumkosoa alieko dimbani lakini akiingia huwa utopolo promax!!kusaliti inategemea ulimwoa anakutreat vp,marafiki na viwanja unavyoruka na kipato chako!!kumbuka kuna wanawake na wake,na wanawake ni wazuri kuliko wake!
Dah [emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23]

Labda na yule dada ako mkuu, ambaye sura yake inafanana na yangu [emoji3]
Sina dada ,,,,
Hiyo sura huna option zaidi ya kua muaminifu….
Lakin pia utakua salama dhidi ya. Gono,kaswende,kisonono,chlamydia,herpes au pangusa,,UKIMWI,UTI sugu nk
 
MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.

Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".

Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.

Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]

Inawezekana kabisa nakutia moyo tumeweza wewe unashindwa nini, hakuna jambo lisilowezekana ni mindset tu na kumshirikisha Mungu

Hili linakua ni agano na Mungu na katika kipindi hicho utajaribiwa sana utashanga watoto wazuri hata huwatongozi wanakuja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nahis wewe bado mgeni kwenye hii field, mwanzoni Jenga Mazingira akuamini ukishahakikisha points tatu unazo anza kula vitu vya nje kimya kimya hakikisha unao wengi maana akiwa Moja anaweza leta headache
[emoji23][emoji23]

Duh!
 
Back
Top Bottom