Kama ikitokea nimeoa sitamsaliti mke wangu

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,811
6,342
MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.

Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".

Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.

Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..
 
Lipia tangazo broo..
Kuna mtoto wa mtu humu ataingizwa kingi soon
Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.
Umri wako tafadhali
 
Ukifikia level hii na haiepukiki kufika, hapo ni uchepuke, ujikaze kisabuni au piga nyama chini... nashauri kaza kisabuni nginja nginja mkuu 😂

20230115_183033.jpg
 
MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.

Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".

Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.

Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..
Sasa kwaiyo sura Utasaliti na nani labda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom