Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko serious mkuu...[emoji28]
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23]
Niko serious mkuu...[emoji28]
Umesahau kasema then anakuomba msamaha...[emoji16][emoji16]Unisaliti halafu uniambie?
Okei
Kwa Me it's almost impossible. Uliza Me 10 walioshi kwenye ndoa miaka kumi watakupa majibu.It is possible kabisa
Baada ya miezi sita ya ndoa uje utupe mrejesho.MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.
Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".
Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.
Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
Nilikuwa na mawazo hayohayo lakini baadae yakabadirika kutokana na circumstances za kazi nifanyayo na bado sijaoa😃😃MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.
Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".
Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.
Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
Hii ni kweliUkiomba msamaha ni lazima alipize kisasi kwa kutembea na Juma
Tulisema hivyo, tena madhabahuni. Kiko wapi?MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.
Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".
Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.
Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
Duh 🙄Hii ni kweli
Huyu week mbili nyingi, type ya wanaume hawa ndo kina MC pilipili😅😅Baada ya miezi sita ya ndoa uje utupe mrejesho.