Inawezekana mkuu, siyo katika kujionyesha ila kukutia moyo ,kwa ajili ya Mungu unaweza ,ila siyo kwa ajili yake, mpaka Leo Nina zaidi ya miaka kumi sijamsaliti mke wangu, ila sijajua yeye.....jambo la ajabu katika hili nimekuwa nikijua Kila muvi mbovu anazotaka kufanya yeye, na si kwa kumvizia ila inatokea tu,,,,, ukifanya kwa ajili ya Mungu utafanikiwa sana ,ila siyo kwa ajili ya kumfurahisha mkeo, wanawake wanafanana sanasan, alishanihisi vibaya kwa kutokunikamata na mchepuko, anasema Nimemzidi akili, lazima Nina mchepu, now am 51 and she is 46,. Mwaka Jana tulishangilia menopause yake