Kama ikitokea nimeoa sitamsaliti mke wangu

Kama ikitokea nimeoa sitamsaliti mke wangu

Bro, haya mambo ya kucheat hayanaga miujiza kama wewe hapo una mademu wawili na zaidi, ujue hata kwenye ndoa itakua ivyo ivyo.
Ninaye mmoja tu mkuu.

Nadhani hiyo theory yako haitafanya kazi nikioa [emoji28]
 
Mwanamke akijua au akihisi umemsaliti ndugu yangu umekwisha, atakitembeza mpaka akuletee gono sugu kwa kisingizio cha mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.
 
Najua ni hizo bangi ulizomoka mkuu iLa ukilirudia hili bandiko miaka miwili baada ya Ndoa yako utajiona fala sana.
Mawazo yako ni lazima yaheshimiwe kama mawazo ya watu wengine wenye akili sawasawa [emoji28]
 
Tema mate chini kijana wangu. Mipango sio kuchagua. Mie kuna vitu nilijiapiza kuwa sitakuja kuvifanya mfsano kutembea na mke wa mtu, kutotumia kondomu, kulipia ada mchepuko, kumpangia nyumba mchepuko. Sasa maisha yamefanya nimevifanya hivyo vyote tena sio mara 3 au 4 ni zaidi ya sana.

UKIKUA UTANIELEWA
[emoji848][emoji848]

Umenifikirisha sana mkuu.

Anyway, ngoja tuone...
 
Back
Top Bottom