[emoji28][emoji28]Itafika siku, mkeo ametoka kuoga hustuki, anavua hushtuki, unamuona anapaka mafuta hustuki, ile kitu ukiona ni kama umeona sikio, yani brain inakuwa imeshamzoea mno. Ukiona katoto ka 2000 mtaaani mnara unasoma kuwa configurations, hapo ndio balaa linapoanza. Anyway tupe mrejesho ukifikisha miaka 10 ya ndoa.
Here I am, sane and sober [emoji28]Friend of the court
Amka kutoka ndotoni mkuu, hilo ni swala haliwezekani kabisa [emoji28]Na mkeo akikileta kitumbua chake chenye mafuta kimenona huku nje tukawa tunagonga hodi kutwa mara 3 utafanya nini?
Bado bado, tulia kwanzaAbove 30.
namba ile ile bossNamba yako ni ileile au umebadilisha?
Mungu akubariki. Jua kwamba, hatushindi dhambi kwa uwezo wetu, tunawezeshwa kushinda dhambi na Mungu mwenyewe, pale unapokuwa umekabidhi maisha yako kwa Yesu yeye ndiye anakupa nguvu ya kushinda dhambi, Nguvu ya Roho Mtakatifu. Dhambi ina nguvu, shetan ana nguvu sana hasa kama hauna Mungu moyoni, ila kama una Mungu, hana nguvu kabisa kabisa. tamaa ya dhambi hasa ya uzinzi ina nguvu mno, na Biblia inatuasa ikiwezekana tuikimbie hata kwa miguu kama Yusufu alivyofanya kwa mke wa potifa.MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.
Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".
Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.
Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
Sasa kaka kwa iyo sura hata ukiwa mchicha mwiba nani atakupakua?? Utakua umeongeza balaa na kusumbua waganga wa kienyeji.Sio mbaya nikakuchumbia hata wewe, manake uzao ni uleule tu mkuu, sura ngumu kama ya nyegera [emoji23]
Kwa tabia hizi utakuwa ni mwanaume jina tu, ila tabia za kiume sizioni kabisa kwako [emoji1787]
[emoji28][emoji28]Baod bado, tulia kwanza
Haina noma buddah [emoji3577]namba ile ile boss
Mafunuo haya yamekuja wakati muafaka kabisa mtumishi wa MUNGU, nakushukuru sana kwa kutumia muda wako kuandika mafundisho mazito namna hii.Mungu akubariki. Jua kwamba, hatushindi dhambi kwa uwezo wetu, tunawezeshwa kushinda dhambi na Mungu mwenyewe, pale unapokuwa umekabidhi maisha yako kwa Yesu yeye ndiye anakupa nguvu ya kushinda dhambi, Nguvu ya Roho Mtakatifu. Dhambi ina nguvu, shetan ana nguvu sana hasa kama hauna Mungu moyoni, ila kama una Mungu, hana nguvu kabisa kabisa. tamaa ya dhambi hasa ya uzinzi ina nguvu mno, na Biblia inatuasa ikiwezekana tuikimbie hata kwa miguu kama Yusufu alivyofanya kwa mke wa potifa.
Yusufu aliwaza, kweli nimtendeje Mungu dhambi kubwa namna hii? wakati huo alikuwa na uwezekano wote kuzini na mke wa potifa na isijulikane, yeye hakumwogopa potifa, aliogoma Mungu ajuaye sirini, Mungu aliyemtoa mbali, Mungu aliyemsaidia hata alipokuwa kifungoni, akajiapiza kwamba nitaweka wapi uso wangu nimtende Mungu dhambi hii?
wengi wakitoka na wake za watu au wakizini na yeyote, mara nyingi huwa wanajificha ndio maana hata magesti yenu yapo ya sirisiri. hawajui kuwa tangu wanaondoka nyumbani, wanafika wanavua nguo Mungu anawaona, na anashangaa, inakuwaje mwanangu niliyemwaminia mno na kumlinda na kumpenda, anitende dhambi ya namna hii? adharau maagizo yangu wazi wazi namna hii kwa kiburi namna hii? ni chukizo mno kwa Mungu, tunamkwaza mno Mungu na ndo maana ameweka siku maalumu ya kuwahukumu walio hai na wafu.
Nawaasa watu wote wanaosoma hapa, ikimbieni zinaa, dhambi zote anazofanya mtu ni nje ya mwili wake ila zinaa ni ndani ya mwili wake na inaathiri sio kimwili tu hadi kiroho, hadi future yako inaathirika na inafungua mlango kwa mashetani, mikosi, na laan akukuingia, IKIMBIENI ZINAA ili mpate kupona na hayo yote. zaidi ya hayo yote, jivikeni upendo ni kipimo cha ukamilifu. unapoiba mke wa mtu jiweke na wewe mkeo akiibiwa utajisikiaje, unakuwa haujamtendea haki yule anayeibiwa, umedhurumu nafsi yake na Mungu wa haki atahukumu kwa haki, mpende yule anayeibiwa kwa kutomwibia mkewe. pia jua ya kwamba hautaenda bure lazima utakula matokeo yake iwe leo au kesho au siku yeyote, hautaachwa salama, hata usipofumaniwa kuna siku tu utapatwa.
kwenu ninyi ambao hamjaokoka, hivyo hivyo ulivyo Mungu atakupokea na atabeba mizigo yako yote, sali sala hii pamoja na mimi:
Eee Mungu wangu, mbele zako mimi ni mwenye dhambi, ninaamini ulimtoa Yesu Kristo alikufa kama kafara kwa ajili ya ukombozi wangu, naomba unisamehe, uniokoe kuanzia leo, mimi niwe mali yako, futa jina langu katika Kitabu cha hukumu, andika jina langu katika Kitabu cha Uzima cha Mwana Kondoo Yesu Kristo, Katika Jina la Yesu! Amen.
hivihivi kimchaezo mchezo umeshaokoka, acha dhambi, kimbia dhambi na jiunge na wale waliookoka ili mmwabudu Mungu pamoja. Ubarikiwe.
AminaAsante sana kwa ushuhuda huu mkuu.
MUNGU akubariki sana.
Hakuna anaye penda kufanya usaliti....Mara zote mwenza ndio kichochezi cha kukusukuma mpaka unakuta ghafla umesha saliti......hii ni dhambi.......MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.
Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".
Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.
Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
[emoji28][emoji28]Hakuna anaye penda kufanya usaliti....Mara zote mwenza ndio kichochezi cha kukusukuma mpaka unakuta ghafla umesha saliti......hii ni dhambi.......