Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,352
- 7,668
- Thread starter
- #101
Sawa mkuu [emoji28]Oa kwanza,acha imaginations.
Sawa mkuu [emoji28]Oa kwanza,acha imaginations.
Asante kwa kunitia moyo mkuu.Inawezekana kabisa
Mimi naamini hakuna mwanaume huwa anapanga kusaliti baada ya kuoa. Infact mtu huoa the best coice kwake hata hivyo, Ndoa ni taasisi yenye rangi za kila aina. Endelea kuomba Mungu akusaidie utimize dhamira yako.MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.
Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".
Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.
Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli safari ni ya Mbeya na nimelipa nauli kamili ila niache Chalinze tu babu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.
Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".
Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.
Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
Wengine wanatoka nje kutokana na yanayoendelea ndani ya familia. Kama kuna jamaa alikuja na kulalamika hapa JF kuwa mke wake ni mwaka wa pili sasa hajampa unyumba kisa kujifungua🤣🙌Amen!
Asante sana mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hakuna nabii au mtume ambaye alioa mwanamke mmoja, je wewe ni nani usichepuke,
acha kupoteza muda na fikra hasi, mwanaume rijali wakati wote huwa na mahaba zaidi ya mwanamke mmoja,
[emoji28][emoji28]Inapunguza maumivu
[emoji848][emoji848][emoji848]Hakuna excuse kwenye kusaliti,usaliti ni tabia
Ntajitahidi sheikh...[emoji28]Kuna kipindi cha kujifungua pale unaweza ukakaa benchi zaidi ya miezi 2 utaweza shekhe wetu??
Nafsi huwa haitulii internal conflict sio yeyeUnisaliti halafu uniambie aisee nitakuona fala sana
Asante sana kwa ushuhuda huu mkuu.Inawezekana mkuu, siyo katika kujionyesha ila kukutia moyo ,kwa ajili ya Mungu unaweza ,ila siyo kwa ajili yake, mpaka Leo Nina zaidi ya miaka kumi sijamsaliti mke wangu, ila sijajua yeye.....jambo la ajabu katika hili nimekuwa nikijua Kila muvi mbovu anazotaka kufanya yeye, na si kwa kumvizia ila inatokea tu,,,,, ukifanya kwa ajili ya Mungu utafanikiwa sana ,ila siyo kwa ajili ya kumfurahisha mkeo, wanawake wanafanana sanasan, alishanihisi vibaya kwa kutokunikamata na mchepuko, anasema Nimemzidi akili, lazima Nina mchepu, now am 51 and she is 46,. Mwaka Jana tulishangilia menopause yake
Kumbe [emoji28][emoji28]Mwanamke akijua au akihisi umemsaliti ndugu yangu umekwisha, atakitembeza mpaka akuletee gono sugu kwa kisingizio cha mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.
Wewe sio mzuri kusimamia maagano, maagano yanahitaji sacrifices na commitmentTema mate chini kijana wangu. Mipango sio kuchagua. Mie kuna vitu nilijiapiza kuwa sitakuja kuvifanya mfsano kutembea na mke wa mtu, kutotumia kondomu, kulipia ada mchepuko, kumpangia nyumba mchepuko. Sasa maisha yamefanya nimevifanya hivyo vyote tena sio mara 3 au 4 ni zaidi ya sana.
UKIKUA UTANIELEWA
Bado unanuka maziwa ya mama yako. Subiri ukue.Mingi tu mkuu, zaidi ya 30.
Why not KE ambao kutwa wanatongozwa tofauti ma sisi mpaka ziamka utongoze mchakato unaweza kukuvunja moyoKwa Me it's almost impossible. Uliza Me 10 walioshi kwenye ndoa miaka kumi watakupa majibu.
Sawa kama huna dada. Lakini una ndugu... watoto wa baba mdg, mama mdg, mjomba, mashangazi n.k. Naamini sura ni zilezile tu mbovu kama yangu, so ntachepuka na mmoja mnaye-share nae vinasaba[emoji28][emoji28]Sina dada ,,,,
Hiyo sura huna option zaidi ya kua muaminifu….
Lakin pia utakua salama dhidi ya. Gono,kaswende,kisonono,chlamydia,herpes au pangusa,,UKIMWI,UTI sugu nk
Asante sana mkuu.Safi Sana.
Barikiwa sana mkuu kwa ushuhuda huu.Inawezekana kabisa nakutia moyo tumeweza wewe unashindwa nini, hakuna jambo lisilowezekana ni mindset tu na kumshirikisha Mungu
Hili linakua ni agano na Mungu na katika kipindi hicho utajaribiwa sana utashanga watoto wazuri hata huwatongozi wanakuja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu. Nitauzingatia ushauri wako.Mimi naamini hakuna mwanaume huwa anapanga kusaliti baada ya kuoa. Infact mtu huoa the best coice kwake hata hivyo, Ndoa ni taasisi yenye rangi za kila aina. Endelea kuomba Mungu akusaidie utimize dhamira yako.