Kama ikitokea nimeoa sitamsaliti mke wangu

MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.

Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".

Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.

Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
How old are u?
 
Mada za Vijana wadogo hizi.
 
Nahis wewe bado mgeni kwenye hii field, mwanzoni Jenga Mazingira akuamini ukishahakikisha points tatu unazo anza kula vitu vya nje kimya kimya hakikisha unao wengi maana akiwa Moja anaweza leta headache
 
MUNGU akiendelea kunipa uhai na ikatokea NIMEOA, namuomba MUNGU sana anisaidie nisimsaliti mke wangu kamwe.

Hili linaweza kuwa jambo gumu kwa baadhi ya wanaume wenzangu humu ndani, lakini mimi naamini linawezekana, nasimama na neno la MUNGU kwenye Kitabu cha Luka 18:27 linalosema, "....yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu".

Na kama ikitokea nimetembea na mwanamke mwingine nje ya ndoa yangu, basi nitamueleza mke wangu ukweli na kumuomba msamaha kwa machozi.

Eeh Mwenyezi MUNGU nisaidie..[emoji2969]
IKITOKEA UMEPATA NA KUOA MSICHANA (BIKRA) KAA KWA KUTULIA, KUWA MWAMINIFU ZAIDI YA 100%.
HUYO ANAKUWA MKEO
KINYUME NA HAPO HUYO ANAKUWA MKE WETU
 
Hakuna nabii au mtume ambaye alioa mwanamke mmoja, je wewe ni nani usichepuke,

acha kupoteza muda na fikra hasi, mwanaume rijali wakati wote huwa na mahaba zaidi ya mwanamke mmoja,
 
Unadhani wanaosaliti huwa wamepanga ndugu.

Kuna kipindi katika ndoa unakuta faraja pekee ni kwenda kutafuta faraja nje ili uepuke kuwa mwendawazimu.

Dhamira yako ni njema na inampendeza Mungu. Mola akujaalie upate utakaefanana nae dhamira ili msisalitiane.
Hakuna excuse kwenye kusaliti,usaliti ni tabia
 
nisimsaliti mke wangu kamwe.
Inawezekana mkuu, siyo katika kujionyesha ila kukutia moyo ,kwa ajili ya Mungu unaweza ,ila siyo kwa ajili yake, mpaka Leo Nina zaidi ya miaka kumi sijamsaliti mke wangu, ila sijajua yeye.....jambo la ajabu katika hili nimekuwa nikijua Kila muvi mbovu anazotaka kufanya yeye, na si kwa kumvizia ila inatokea tu,,,,, ukifanya kwa ajili ya Mungu utafanikiwa sana ,ila siyo kwa ajili ya kumfurahisha mkeo, wanawake wanafanana sanasan, alishanihisi vibaya kwa kutokunikamata na mchepuko, anasema Nimemzidi akili, lazima Nina mchepu, now am 51 and she is 46,. Mwaka Jana tulishangilia menopause yake
 
Back
Top Bottom