Kama hupendi utani usifungue hii.

dudupori

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
1,793
1,903
Nilipita geto kwako jana ucku nikasikia majambazi wanakwambia chagua moja, tukuue au utupe tigo. Naona leo upo mzima kwani ulifanya maamuzi sahihi, wangekuua wale washenzi! Saburi kitu gani bwana!
 
hahaha ummu kwani ugomvi?

mmmmmmmmmmh bwana sa si amesema kam...........usifungue sa nikajikuta nisha open
 
Hamna bana nilifanikiwa kuwatoa nduki.Hawana lolote wale mbweha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom