Kama hupendi utani usifungue hii.

Kama hupendi utani usifungue hii.

dudupori

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Posts
1,795
Reaction score
1,920
Nilipita geto kwako jana ucku nikasikia majambazi wanakwambia chagua moja, tukuue au utupe tigo. Naona leo upo mzima kwani ulifanya maamuzi sahihi, wangekuua wale washenzi! Saburi kitu gani bwana!
 
Searching....0%,404 error occured.
 
hahaha ummu kwani ugomvi?

mmmmmmmmmmh bwana sa si amesema kam...........usifungue sa nikajikuta nisha open
 
Hamna bana nilifanikiwa kuwatoa nduki.Hawana lolote wale mbweha tu
 
Teh! We kumbe mpiga chaboeeh!
teh!
teh!
teh!
 
Nilikuwa napita njia tu mkuu, bora lakini hawakukuuwa, teh teh teeeee......

ebhanaee we ulivyo chungulia s waliniacha wakakukamata wewe mi nikakimbia pole sana lakin naona uliwapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom