Kama huna ngozi nene usigombee urais!

Kama huna ngozi nene usigombee urais!

wapi alipotukana? kamawe mchungaji hawezi kutukana bali kuelezea hisia zake aidha kwa ukali au msisitizo, isitoshe Rais kaapa kwa kutumia biblia haya maneno anayemweleza yapo kwenye vitabu vya dini hivyo sioni sida kwa aliyoyafanya askofu.
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.
ungaji
 
Freedom of expression is recognized as a human right under article 19 of the Universal Declaration of Human Rights and recognized in international human rights law in the International Covenant on Civil and Political Rights (ICCPR). Article 19 of the UDHR states that "everyone shall have the right to hold opinions without interference" and "everyone shall have the right to freedom of expression; this right shall include freedom to seek, receive and impart information and ideas of all kinds, regardless of frontiers, either orally, in writing or in print, in the form of art, or through any other media of his choice". The version of Article 19 in the ICCPR later amends this by stating that the exercise of these rights carries "special duties and responsibilities" and may "therefore be subject to certain restrictions" when necessary "[f]or respect of the rights or reputation of others" or "[f]or the protection of national security or of public order (order public), or of public health or morals".[6]

Wapi sheria inayokataza Magufuli asikejeliwe?
 
Wewe ndo huna akili.
Ok , kutokujua kwamba huna akini pia ni tatizo. Sasa mie nakubali sina akili, njoo hapa Rock City Mall , - THE CASK, nikupe bia ili upate kujua mie nina akili nzuri tu, na nilikushangaa wewe ulipoacha kujadili mambo ya maana, kisa tu wewe ni poti wa Magu!!! nakujua sana Nyani Ngabu , siyo yule ninayemfahamau. Ulibadilika ghafla baada ya poti wako kuchukua nchi. Kubali tu kwamba amekuangusha , ndo maana sasa umerejewa na akili!
 
Wapi sheria inayokataza Magufuli asikejeliwe?
Soma kuanzia hapo kwenye special duties and responsibilities. Usikariri kwa kutafuta neno kejeli Kukejeli au kudhalilisha ni moja ya Kushusha au kuharibu reputation ya mtu na ni kinyume cha maadili.Mkuu kudhalilisha mtu,kumkejeli au kumtukana na tabia sawa na hizo hivyo vyote ni kosa na vinaweza shusha heshima ya mtu.Jifunze Kujifunza
 
Ndiyo hivyo. Hutakiwi kujitangaza jina halafu ukawa unabishana na watu ambao hawajulikani majina halafu ukajiona mjanja kwa sababu huna woga.

Kama vile ambavyo hutakiwi kufunga macho halafu ukavuka barabara yenye magari mengi huku umefunga macho halafu ukatamba eti huna woga.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hii hoja yako mkuu imenichekesha sana!
 
Ok , kutokujua kwamba huna akini pia ni tatizo. Sasa mie nakubali sina akili, njoo hapa Rock City Mall , - THE CASK, nikupe bia ili upate kujua mie nina akili nzuri tu, na nilikushangaa wewe ulipoacha kujadili mambo ya maana, kisa tu wewe ni poti wa Magu!!! nakujua sana Nyani Ngabu , siyo yule ninayemfahamau. Ulibadilika ghafla baada ya poti wako kuchukua nchi. Kubali tu kwamba amekuangusha , ndo maana sasa umerejewa na akili!

Hunijui hata kidogo, achilia mbali kunijua sana kama unavodai.
 
Soma kuanzia hapo kwenye special duties and responsibilities. Usikariri kwa kutafuta neno kejeli Kukejeli au kudhalilisha ni moja ya Kushusha au kuharibu reputation ya mtu na ni kinyume cha maadili.Mkuu kudhalilisha mtu,kumkejeli au kumtukana na tabia sawa na hizo hivyo vyote ni kosa na vinaweza shusha heshima ya mtu.Jifunze Kujifunza

Kakobe kaharibuje reputation ya Magufuli?
 
Nani anaye-define kejeli, udhalilishaji, na matusi? Au onyesha sheria inayotoa tafsiri ya maneno ya kejeli, udhalilishaji, matusi na ya kuvunjia heshima watu.
 
Kakobe kaharibuje reputation ya Magufuli?
Huko siko na ni mada nyingine, nataka nijue kwanza kama umeelewa kudhalilisha, kukejeli au kutukana ni kosa kisheria na unakiuka haki za binadam.Umekubaliana na hili?
 
Hawa wanasheria uchwara wengine wanahitaji msaada wa tusio wanasheria.
Hahaha sijui kama atataka tena mabishano ya kihoja na wewe maana nafanananisha majibizano yako na Mh Lissu anapokuwa anapambana kwa hoja ndani ya bunge zikiendana na maneno mengi ya kuudhi
 
Rais kukosolewa ni sawa. Kukosoa kuwe kwa staha na kunakotoa njia mbadala. Lakini, kumdhihaki, kumtukana na kumkejeli Rais hakutavumiliwa. Watakaofanya hivyo wote watashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria.

AKifanyiwa yote hayo URAIS wake unatoweka?
 
Nani anaye-define kejeli, udhalilishaji, na matusi? Au onyesha sheria inayotoa tafsiri ya maneno ya kejeli, udhalilishaji, matusi na ya kuvunjia heshima watu.

Halafu basi, Kakobe wala hajamkejeli rais. Wala hakutumia lugha kali. Wala hakutukana.

Kakosoa kistaarabu sana.

Lakini cha ajabu tunasikia eti huenda akakamatwa ili akatoe maelezo!

Sitoshangaa na yeye uraia wake kuanza kuhojiwa.
 
Huko siko na ni mada nyingine, nataka nijue kwanza kama umeelewa kudhalilisha, kukejeli au kutukana ni kosa kisheria na unakiuka haki za binadam.Umekubaliana na hili?
Ambaye anataka haki za kutodhalilishwa asigombee uongozi wa kitaifa.

Ukishakubali kugimbea uongizi wa kitaifa umeshakubali kusemwa vibaya na kudhalilishwa kila siku kwenye magazeti.

Ndiyo maana wahenga walisema ukubwa gunia la chawa.

Nobkesse oblige. With great power comes great responsibility.

Ukubwa ni nguvu inayonunuliwa kwa kukubali kudhalilishwa.

Ndiyo maana ukiangalia comedy Uingereza kila wiki wanawadhalilisha Malkia na Waziri Mkuu.

Ukiangalia "Saturday Night Live" kika wiki wanamdhalilisha rais wa Marekani.

Na hakuna wa kuwashitaki.

Tatizo tunawafanya watawala hawasemeki.
 
Huko siko na ni mada nyingine, nataka nijue kwanza kama umeelewa kudhalilisha, kukejeli au kutukana ni kosa kisheria na unakiuka haki za binadam.Umekubaliana na hili?

Ni maneno gani yanayodhalilisha? Ni maneno yepi ni kejeli? Niwekee orodha hapa...
 
Naona siku hizi umekuwa mshauri wa Lumumba na mpiga ramli maarufu JF.. Jitahidi kijana usajiri bado unaendelea..
 
Back
Top Bottom