Kama huna hela usiombe namba

Naked truth.
 
Hivyo vyote kuwa navyo kunahitaji pesa.
 
Acha ubakhiri wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tupeane kimasihara tu, haya mambo ya bater trade yalishaisha enzi za sub saharan huko tuyapuuze!🀩🀩🀩
 
Kwa kifupi uwe muigizaji mzuri.
 
Msitufanyie hivyo jamani, toeni mtabarikiwa na bwana😍😍
Mtupe offer jamani sio tunalipia king’amuzi mwaka mzima bila offer ya bure! Hata dstv wanatoaga kifurushi cha bure kabla ya malipo kamili kuanza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…