Umaarufu wa shule hizi kongwe umepotelea wapi..?

Umaarufu wa shule hizi kongwe umepotelea wapi..?

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,757
Nakumbuka enzi hizo bado niko shule ya msingi ndoto yangu kubwa ilikuwa nikifanikiwa kuingia kidato cha kwanza ilikuwa kusoma shule za boarding tena za serikari, sio za serikari tu bali ni shure kongwe zenye majina na ufaulu wake ulikuwa haushikiki.

lakini pia kwa upande wa private kulikuwa na shule zenye majina na kongwe sana bila kusahau zinatoa elimu iliyo bora kila mtu anapenda akasome pale.

Hivi hizi shule kwa upande wa Private zimefifishwa na Utandawazi, uendeshwaji, Ushindani kuwa mkubwa, kukosa soko kama awali, Uchumi kuwa mgumu na kupelekea zingine kusahaulika kabisa.

Je shule za serikali ambazo zilikuwa na majina ushindani mkubwa na zenye ndoto ya kila mtu kwenda kusoma shule hizo umepotelea wapi,

Baadhi ya Shule hizo ni,

New man Kigoma
Matai Sumbawanga
Tosa maganga Iringa
Mpanda Girls Katavi
Kibondo Girls Kibondo
Kazima Tabora
Isevya Tabora
Tabora Boys Tabora
Tabora Girls Tabora
Meta Mbeya
Sangu Mbeya
Ali Hassan Mwinti Tabora
Nganza Mwanza
Nsumba Mwanza
Bwiru boys & Girls Mwanza
Kantalamba Sumbawanga
Ilboru Arusha
Mwenge Singida
Minaki Kibaha
Jamuhuri Dodoma
Buluba Shinyanga
Kibasila Dar
Azania Dar
Jangwani Dar
Loleza Mbeya
Mbalizi Mbeya
Tambaza Dar
Moa Dar
Ussoke Mission Tabora
Msangi Junior seminari Tabora
Itaga seminari
Umoja & Uchama Tabora
Loyola Dar
St thomas
New era Tabora
Rukwa High/Msakila Sumbawanga
St Maurusi Sumbawanga
St Aggrey Mbeya
Swila Mbeya
Mwakaleli Mbeya

list ni ndefu ngoja niishie hapa....
 
hata mkoa wenye sekondari nyingi
kilimnjaro, huja taja hata shule moja.





acha hizo



ongeza hpo moshi tech,


old moshi

weru weru

same
majengo

umbwe
nimemaliza kwakusema list ni ndefu, vizuri umeongezea na wewe Big up kwako Mushi..
 
Dah! Ivi kuna mtu alikuwa na ndoto ya kusoma Meta au Sangu! By the way mi nilikuwa nazipenda izi shule kwa kuwa zilikuwa na tubinti tumechangamka!
 
Back
Top Bottom