Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi


kombaME

kombaME

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Messages
1,038
Likes
1,071
Points
280
kombaME

kombaME

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2015
1,038 1,071 280
Kama nimeitaja shule yako jitokeze na uitaje umpate school mate mwenzio muunde undugu.. Nimepanga randomly bila kufuata utaratibu wowote..

1.Mzumbe

2.Milambo

3.Kantalamba

4.Minaki

5.Iyunga

6.Kibaha

7.Mazengo

8.Tosamaganga

9.Tabora boys

10.Mtwara tech

11.Moshi tech

12.Mwakaleli

13.Tabora girls

14.Pugu

15.Ifakara

16.Mtwara girls

17.Tambaza

18.Azania

19.Msalato

20.Kilakala

21.Umbwe

22.Rungwe

23.Songea boys

24.Masasi girls

25.Kigonsera

26.Tarime

27.Malangari

28.Sengerema

29.Shinyanga ''Shy bush''

30.Ndanda

31.Njombe sec ''njosi"

32.Kigoma

33.Kwiro

34.Bwiru boys

35.Bwiru girls

36.Nsumba

37.Lindi

38.Bagamoyo

39.Kibiti

40.Jitegemee

41.Kabanga

42.Mpwapwa

43.Bihawana

44.Same

45.Weruweru

46.Kifungilo

47.Galanosi

48.Nangwa

49.Morogoro

50.Korogwe girls

51.Kilosa

52.Tunduru

53.Ndwika

54.Chidya

55.Mwenge

56.Maposeni

57.Ngudu

58.Igawilo

59.Msolwa

60.Mambwe

61.Lugalo

62.Makongo

63.Ifunda tech

64.Iliboru

65.Kidugala

66.Iringa girls

67.Maswa girls

68.Mahiwa

69.Marangu

70.Arusha

71.Ngaza

72.Usagara

73.Ihungo

74.Maua seminary

75.Uru seminary

76.Lyamungo

77.Mafinga seminary

78.Kirinjiko

79.Tanga tech

80.Kibosho girls

81.Kibondo

82.Mara

83.Jangwani

84.Nyegezi seminary

85.Machame girls

86.Namupa seminary

87.Uwemba

88.Pamba

89.Kahororo

90.Nyakato

91.Sangu

92.Kibasila

93.Mawenzi

94.Karatu

95.Kindondoni Muslim

96.Ashira

97.Kaengesa seminary

98.Magamba

99.Zanaki

100.Old Moshi
 
Claret

Claret

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
505
Likes
583
Points
180
Age
35
Claret

Claret

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
505 583 180
Nilitegemea katika listi yako ungeipa heshima TANGA TECHNICAL SCHOOL shule ya kwanza ya serikali Tanzania yenye zaidi ya miaka 120 na iliyozalisha viongozi wakubwa nchini akiwemo Rais mstaafu J. M. Kikwete. Anyway, naamini umepitiwa.

Asante TTS & MINAKI. Miaka niliyopitia huko haikuenda bure kama makinikia ya madini Tz.
 
M

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
512
Likes
509
Points
180
M

mandokwa

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2013
512 509 180
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
iko wapi? mtwara mjini,
iko wapi? mtwara mjini, mkoani mtwara, kanda yakusini,
Kauli?....................................................................................................... (mafundi mpo?)
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,565
Likes
38,966
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,565 38,966 280
Mr. Bigman Kweli Wewe Ni Big Magufuli. Asante
 
K

kikokotoleo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
338
Likes
290
Points
80
Age
49
K

kikokotoleo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
338 290 80
Mleta mada una ushabiki wa damu. Watakutumbua kina Dr. Possy tuliosoma Makongo.
 
Mtingozi

Mtingozi

Senior Member
Joined
Jun 6, 2015
Messages
164
Likes
120
Points
60
Mtingozi

Mtingozi

Senior Member
Joined Jun 6, 2015
164 120 60
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
Mtwara ufundi, ni shule yangu naipenda,
iko wapi? mtwara mjini,
iko wapi? mtwara mjini, mkoani mtwara, kanda yakusini,
Kauli?....................................................................................................... (mafundi mpo?)
Huu wimbo umenikumbusha mbali mkuu,ndani ya DH scholl baraza
 

Forum statistics

Threads 1,249,898
Members 481,140
Posts 29,714,308