Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,732
- 107,007
- Thread starter
- #61
wote tumepita huko mkuu..Nishanyanganywa shati kisa kuchungulia ukumbini..ilikua SpidermanMkuu Da'Vinci hizo movies zilikula sana vijisenti vyangu enzi ya utotoni maana tulikua tunazicheki kwenye mabanda ya video tena zikiwa zimetafsiriwa kwa kiswahili na bwana Lufufu Mukandala
Kingilio ilikua tunalipia Tsh.50/= kwa kila movie