Kama hujawahi kuona hizi muvi basi zitafute

Uliisahau vipi hii?
images-22.jpeg
 
Hizo movie zilikuwa nzuri kwa akili za kitoto. Lakini kwa sasa hivi nikiziangalia naona kawaida.Japokuwa zipo ambazo ni nzuri hadi leo kama Terminator franchise, au hizo za Jimm Carrey Mask na Dumb and Dumber
 
Dah mkuu umeichangamsha asubuhi yangu,movie bora za wakati wote.

Nimeshindwa kuendana na soko la movies za 2000s kutokana na nyingi naona computer imetumika sana,sisemi movie za 90s kurudi nyuma computer haikutumika but hizi za kisasa hazina uhalisia kabisa.

Ukiangalia mfano Predator,Rambo series utaelewa nachosema yaani kuna ule uhalisia unaona kabisa kwamba hapa ilikuwa vigumu kutoboa ila ilitumika juhudi binafsi.
 
Mkuu tupe links plz tudownload umenikumbusha desperado miaka 99 nina miaka 5 ndio nimeiona iyo daaa.
 
Ndugu mara zote huwa naheshimu sana na kusoma kwa umakini mkubwa sana nyuzi zako, ila kwa hii umepotoka sana. Usikae kuona kwamba jambo fulani unaweza kulifanya kiukamilifu basi ukajua kila mtu anaweza kufanya vivyo hivyo kama wewe au kila unachokifahamu basi kila mtu anakifahamu
 
Jinsi ya kuzipata ni shida maybe hadi zile zilizotafsiliwa na waongo akina rufufu mkandara, mark na baba yao wauongo DJ AFRO, ukiingia mtandaoni ili kupakuwa OG zisizotiliwa maneno ya kisw na zilizo HD unaambiwa uweke no. ya MasterCard. wakati wengine tuna no. ya m-pesa TU
 
Kwa wale ambao hawajawahi kuziona hizi movies kwa kweli nawapa pole maana ni movies taamu sijapata kuona kwa kweli...
51390DQYA7L._AC_SY400_.jpeg
main-qimg-da2d726c3b8281b41d6072174a8c73f8-c.jpeg
 
Ndugu mara zote huwa naheshimu sana na kusoma kwa umakini mkubwa sana nyuzi zako, ila kwa hii umepotoka sana. Usikae kuona kwamba jambo fulani unaweza kulifanya kiukamilifu basi ukajua kila mtu anaweza kufanya vivyo hivyo kama wewe au kila unachokifahamu basi kila mtu anakifahamu
Katoa kama ushauri si lazima uufuate(ushauri humfikia uumpasae, ukiona haukupaswi basi si maalum kwa ajiri yako), hii ni sehem ya kushare kile unachokijua ili na wenzio wajue kupitia ww.. yupo sawa Da vinci.
 
Back
Top Bottom