Kama hujawahi kuona hizi muvi basi zitafute

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Jul 12, 2013
974
1,000
Mkuu Da'Vinci hizo movies zilikula sana vijisenti vyangu enzi ya utotoni maana tulikua tunazicheki kwenye mabanda ya video tena zikiwa zimetafsiriwa kwa kiswahili na bwana Lufufu Mukandala
Kingilio ilikua tunalipia Tsh.50/= kwa kila movie
 

red apple

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
505
1,000
kwa mara ya kwanza naiona Tv ilikua 2004 heheee usitake kujua kilichotokea
Hahaaa me ilikuwa 1998 mdingi wangu alonilea alinunua na generator, tukawa tunaangalia kombe LA dunia, mtaa mzima wanajaa home..!! Kombe lilivoisha akawa anaweka mikanda sijui ya dibl dibala na mbiliabell......haha
 

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
4,910
2,000
Madaftari ya shule kipindi hicho nilikuwa nachora hiyo rambo kashika RPG na shoziniga komando bila kuisahau strike commando!yaani nikishika penseli tu hadi lazma niwachore hao jamaa hadi ukuta chumbani kwa dingi alikuta nimemchora shoziniga afu sijui kuchora aseee nilikula mbata hahahaha...nimefurahi sana kukumbuka
 

thisdayes

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,542
2,000
Mkuu unazo? Nataka niwe nawawekea wanangu wangalie maana sikuhi watoto wetu hawaendi mabanda ya video
Bora ufanye hivyo, series za siku hizi mpaka cartoon zina mambo ya kichoko. Unakuta starring bwabwa. Nikiwa dogo nikitoka kumchek dame nilikua namgeza kuruka mateke, sasa hawa madogo wana wakati mgumu.
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,367
2,000
Dah! kitambo sana hiyo,enzi hizo nawahi kufagia banda la video niingie bure picha moja sh 20 yaani ilikuwa bora nikose chakula na nichelewe kurudi home nipigwe mikwaju kuliko kuzikosa muvi hizo
halafu ukirudi home hujaoga saa moja unafikia bakora za maana tu.. nimechezea sana bakora
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,367
2,000
Wick I said before avanger Endgame inakuja kuvunja rekodi zote za muvi, bado hata mwezi haujafika toka iachiwe ila ina imeingiza mpaka sasa
Box office$2.509 billion[
Hadi Director James Cameroon kawavulia kofia Joe na Anthony Lusso kwa kufanikisha kuvunja hizi rekodi
1099178
 

Perimeter

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,189
2,000
The mask..American ninja kuna jamaa tulikua tunamuita massaweeee Hzo movie zote nimeziangalia kwa jirani yetu sisi tulikua na TV ila hatuna deki na tv kuwasha mpaka jumapili..so mamuvi hayo nimechapwa sana kwenda kuziangalia Movie 1 tunaangalia asubuhi,mchana,jioni..kesho yake hivyo hivyo na hamna anaeichoka mzeee,unakariri movie mpk unajua saivi Mlio flani unafata.
 
Top Bottom