Kama hujawahi kuona hizi muvi basi zitafute

Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,028
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,028 2,000
kila jambo linahitaji dhamira ya dhati pindi unapotaka kulitekeleza, so kiupande wangu nakosa ile dhamira ya kufanya maamuzi ya kurudi hollywood.
ni maamuzi tu brother haijalishi nimeshakuwa muathirika wa hallyu.
lakini itanichukua muda mrefu kupata matibabu ya ugonjwa wa hallyu.
nakosa hamu hata ya kutembelea tovuti tofauti kwa dhumuni la kutafuta link zitakazoniwezesha kucheki ulimwengu wa hollywood n.k
ok.. broh
Endelea na unachofurahia nachoo.. yote ni kutafuta furaha ya mioyo yetu
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
5,109
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
5,109 2,000
Hapo naona ungeongeza na mmoja ya kihindi inaitwa JAN DUSHMAN
nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa action film kutoka bollywood.
suniel shetyy + sunny deol + ajay devgan
kitambo sana
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
7,183
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
7,183 2,000
Hata mijenereta unataka kusema haikua na uhuru kufika huko, unatia aibu mkuu
Kutia aibu nikwa anayepretend life,kama umekulia na kuzaliwa mjini tu huwezi kuelewa, wanakijiji wenzangu wanaelewa ninachomaanisha......hata saizi kuna baadhi wanajua Rais ni Nyerere
 
DBC

DBC

Member
Joined
Oct 26, 2018
Messages
16
Points
45
DBC

DBC

Member
Joined Oct 26, 2018
16 45
Kwa kizazi cha sasa cha movie kama hujaona The Expendables, TAKEN au Fast n Furious basi umeachwa mbali
 
Baby Nimah

Baby Nimah

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
615
Points
1,000
Baby Nimah

Baby Nimah

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
615 1,000
Hivi kwel kuna mtu yuko humu ajaona hta moja??
 
Baby Nimah

Baby Nimah

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
615
Points
1,000
aimi lyatuu

aimi lyatuu

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Messages
299
Points
250
aimi lyatuu

aimi lyatuu

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2015
299 250
Hiyo eastern condor hujaitendea haki.. Kapicha kadogo hivyo
 
casanova69

casanova69

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Messages
1,836
Points
2,000
casanova69

casanova69

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2015
1,836 2,000
Nimeziangalia sana mabanda ya video,kipindi hicho home vichenji chenji sh 10,20 vikikaa kizembezembe nilikuwa napita navyo kama Usain bolt😂😂😂
 

Forum statistics

Threads 1,305,018
Members 501,635
Posts 31,534,602
Top