red apple
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 728
- 1,115
Hahaaa me ilikuwa 1998 mdingi wangu alonilea alinunua na generator, tukawa tunaangalia kombe LA dunia, mtaa mzima wanajaa home..!! Kombe lilivoisha akawa anaweka mikanda sijui ya dibl dibala na mbiliabell......hahakwa mara ya kwanza naiona Tv ilikua 2004 heheee usitake kujua kilichotokea