Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,137
- 48,808
Ni bora tukaanza kufikiria jinsi ya kuzikodisha.
Wazo zuri sana.
Ni bora tukaanza kufikiria jinsi ya kuzikodisha.
Biashara yoyote haijawahi kuwa rahisi kama tunavyoaminishwa na akina joni walker..!!
Nipishe hii siti nilienda toilet ndo nimerudiSiti ya mbele
Yote hii ni bora tu umsapoti mbumbumbu aliyepo ikuluWewe unafikiri biashara ni mteremka wa kupata kila siku? Haya kwenye biashara ni ya kawaida sana.
Umeshawahi kufanya biashara gani wewe tangu umezaliwa? Tuanzie hapo kwanza.Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Jinga hasa wewe,basi unafananisha na ndege? Angani kuna vituo vya kubebea watu?Hata basi za Modern kutoka Mwanza kwenda Nairobi mara nyingine huwa zinabeba hadi watu 15 kwenda Nairobi. Biashara kuna kupata na kukosa.
Wew jamaa kweli Nzangamba (ng'ombe)hamuwezi kuwa busy kila siku kuwafanya wenzenu ni second class,kuwanyanyasa ,kuwateka,kuwaua halfu wasifurahie vimeo vyenu vikifeli.
Sawa mwelewa. Tunabishana kwa hoja na si kwa kuambizana ujinga, maana tuliomo humu si watoto.Jinga hasa wewe,basi unafananisha na ndege? Angani kuna vituo vya kubebea watu?
tuko pamoja sana tuuuuu,siku ingine waende hao crew sita wakazururure nalo huko anganiMimi nafurahia shirika hili kupata hasara. Taifa hili viongozi utawasikia maendeleo hayana Chama, utawasikia tushikamane. Kama mbele ya halaiki tu wanawasema wapinzani, wanawatesa viongozi wa upinzani utadhani tuko karne ya 16 hivi. Je, wanayoyafanya sirini yakoje. Unafiki umewajaa sana. Leo wapinzani wangapi wana kesi mahakamani ambazo hata kichwa hazina?
Unafiki mimi sina, nafurahia kushindwa kwa utawala huu dhalimu. Utawala wenye dhulma kwa watumishi.
tuko pamoja sana tuuuuu,siku ingine waende hao crew sita wakazururure nalo huko angani
Mmmmh biashara ikiwa hivyo ni kifo, nfano ni mabasi ya Scandinavia hayapo Tena yalikua na system hiyoHata basi za Modern kutoka Mwanza kwenda Nairobi mara nyingine huwa zinabeba hadi watu 15 kwenda Nairobi. Biashara kuna kupata na kukosa.
Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.
Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!