Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

Hizi ni changamoto za biashara japokuwa ni ngumu kutoa maamuzi kwa kutumia flight moja.Je ni kila siku hakuna wateja au ni siku hiyo tuu?Na jee ilivyokua inarudi Entebe Kilimanjaro, hali ilikua hivyo hivyo?

Niliwahi kushuhudia Egypt Air Airbus 320 from Cairo to DSM ikiwa na abiria 20.

So hizi ni changamoto na ninaamini wahusika wakiona route hailipi wataifuta kama KQ walivyositisha NBO to New York.
Mm nliwahi kusafiri na basi toka dar hadi iringa tulikuwa abiria hatuzidi 20 kwenye basi la watu 60, so haya mambo ni ya kawaida kila kona.

Shida ya mleta mada yeye ni kuokoteza kila aina ya takataka na kuila
 
Mm nliwahi kusafiri na basi toka dar hadi iringa tulikuwa abiria hatuzidi 20 kwenye basi la watu 60, so haya mambo ni ya kawaida kila kona.

Shida ya mleta mada yeye ni kuokoteza kila aina ya takataka na kuila
Hakuna ma bus ya watu 60 siku hizi.hiyo ndege inabeba watu 200+ kwa watu 6 ni sawa?
 
Jiwe ni mbushi na hashauriki, biashara hii hatuwezi na haiwezi kuendeshwa kisiasa na kutafutia kick za kishamba. Kazuia watumishi wa uma kusafiri nje kisha ananunua madege makubwa ya kuenda nje, atayapanda nani?
Minitu kama nyie ndio sawa na wale wana wa israel wametoka utumwani wanafika jangwani wanatamani tena kurudi utumwani kwa sababu kule wameaacha masufuria ya nyama na pilau!

Hivi hao walioweza waliaanzaje? Unafikiri waliibuka tu?
 
Wewe unafikiri biashara ni mteremka wa kupata kila siku? Haya kwenye biashara ni ya kawaida sana.
Kama unafikiri Air Tanzania wafanya biashara basi utakuwa uko kwenye usingizi wa pono ........ endelea kulala maana ndoto za asubuhi ni tamu sana ...............!!
 
daaaaah watz vichaaa sana ety unafurah ndege LA taifa lako kuwa kweny hali mbaya nadhan hapa weng wangeshaur wafanye promotion km qatar na emirate wanafany promotion ss kina nan tusifany ivo

ttcl walpotea ila saiv wana promot wapo vzr

waache kufany kaz kw mazoea

ila watz mnacheka mnajua anaekoma nan utaifa mbele
 
Back
Top Bottom