Air tanzania root zipigwe hadi usiku wa manane kuongeza uzalishaji

MIRA01

JF-Expert Member
Sep 18, 2023
298
651
Kwa mikoa ya kibiashara especial local root za kutoka dar- arush
Mwanza-Dar
Kuna haja wa ATCL AIR TANZANIA kuongeza muda wa siku wa safari yaani root ziwe nyingi.

Naamini kutokana na ndege kuwa chache na nyingi zikiwa matengenezo ndio mana kunakuwa na root chache kwa siku kwa mkoa husika, na huku wakiruhusu kwenda na kuzunguka mikoa mengine


Mfano root ya mwanza kwa air tanzania inaishia saa 5 usiku, na kipindi hiki air Tanzania wanapiga sana kazi hakuna flight inaruku tupu, watu on board wamejaa na ukicheleww dakika chache wale wanaokuja kuchance wananunua siti yako, so far better wakaweka na root ya saa 7 ama 8 usiku, itasaidia sana kuongeza ufanisi na uzalishaji kwa wananchi wake!

Nipongeze kwa air Tanzania na serikali ya awamu ya Tank kuwa na maono kiasi hiki kwenye sector ya anga

Pia nipongeze kwa sasa kuruhusu mabasi pia kusafiri kwa saa 24.
 
Back
Top Bottom