Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

na

kuwakomesha chadema maana ndege ikija unasikia watakoooma.hahahahaha buwahahahahaha
Unajua ubishani huja mtu asipojua fikra za mwenzake.
Mimi najua biashara kwa shirika lililofufuliwa is next to national identity.
Sasa mtu asipojua hilo ni kila siku kuleta habar hasi.
What a sadist generation!
 
Hiyo mbona walitangaza officially kuistisha hadi mwakani?tatizo letu sisi hatutaki kuutangazia umma juu ya matatizo tunayo kutana nayo
Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.

Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!
 
Kwenye maisha faileirs ni jambo lisilokwepeka. Kinachatakiwa ni dhamira nzuri na bidii katika kutumiza dhamira.
If you don't plan you are planning to fail.

Kuna failures zingine ni za kujitakia, shirika linaanzaje biashara sensitive kama hii bila kufanya research na kuwa na business plan, matokeo yake ni kurupuka kupeleka ndege Entebe bila kujua flow ya abiria kwa kutafuta kiki za kisiasa.
 
Sijaona Shida yoyote hapo
nilienda misri kutoka dar ndege abiria 12 tu ilikuwa mara yangu ya kwanza, safari ndefu
Nilishangaa but niliona nikajua ni mambo ya kaiwaida katika biashara sio kila siku wateja watakuwa wengi sometime inakuwa kama hivi
Lakini pia kumbuka adui haangalii mafanikio anakuwa anakutafutia uozo kila siku ili akutikise
so pia ingekuwa inacolapse basi wangeua hiyo route ama safari zote kiujumla i hope still they are doing good
 
Wewe unafikiri biashara ni mteremka wa kupata kila siku? Haya kwenye biashara ni ya kawaida sana.

Kulingana na hii Twitter, yaelekea mwandishi ni mtu wa UGANDA.
Swali ni Je, UGANDA AIRLINES or any Airline kama Kenya Airline,ziliondoka/huondoka na abiria wangapi KIA-ENTEBBE?
Magufuli laikuwa anafikri ukinunua Ndege basi kazi imeisha yaani ni kuvuna pesa tu..!!!Hii ni akili mbovu kabisa kufikri kuwa kwa vile wewe ni Rahisi kila unachofikiri/kutenda ni sahihi...Huwezi kuwa bingwa wa KEMIA ukategemea kuwa unaweza ukafanya na BIASHARA ya kurusha ndege angani.Never..!! Very soon ATC wataanza kuvuna HASARA tupu!!!
 
Mm nliwahi kusafiri na basi toka dar hadi iringa tulikuwa abiria hatuzidi 20 kwenye basi la watu 60, so haya mambo ni ya kawaida kila kona.

Shida ya mleta mada yeye ni kuokoteza kila aina ya takataka na kuila
Biashara ya ndege unafananisha na ya basi.
 
Back
Top Bottom