EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 10,860
- 24,842
Na biashara kwa kipindi hiki ni ngumu mno, hakuna aliye na unafuu.Mmmmh biashara ikiwa hivyo ni kifo, nfano ni mabasi ya Scandinavia hayapo Tena yalikua na system hiyo
Na biashara kwa kipindi hiki ni ngumu mno, hakuna aliye na unafuu.Mmmmh biashara ikiwa hivyo ni kifo, nfano ni mabasi ya Scandinavia hayapo Tena yalikua na system hiyo
Mtanzania mwenzangu mpendwa, ndege za Atcl zinajaa zote tena sana. Mada hii specifically ndio uthibitisho wa chuki ya kijinga inavyoweza kuzaa uozo kama hii post.Panda ujaziejazie
Ova
Nashauri route za Ndani ni Muhimu zaidi,Kama Dar Songea,Dar Mtwara,Dar Shinyanga Etc!
JIWE alishatangaza kuwa SERIKALI haipati HASARA.Wewe unafikiri biashara ni mteremka wa kupata kila siku? Haya kwenye biashara ni ya kawaida sana.
Ndege siyo kama basi. Inabidi walipie uwanja, mafuta, wahudumu, vyakula na usafi kwenye ndege ambavyo vinafanywa na viwanja wanakotua. Hesabu ni kiasi gani wanapoteza?Mm nliwahi kusafiri na basi toka dar hadi iringa tulikuwa abiria hatuzidi 20 kwenye basi la watu 60, so haya mambo ni ya kawaida kila kona.
Shida ya mleta mada yeye ni kuokoteza kila aina ya takataka na kuila
Wewe uliwahi kuleta hata pungufu moja zaidi ya sifa na ibada kwa mfalme Jiwe.Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Kwani lazima?Wewe uliwahi kuleta hata pungufu moja zaidi ya sifa na ibada kwa mfalme Jiwe.
Kama unalijua hilo kwanini mmekomaa kutetea anguko la nchi?Sawa mwelewa. Tunabishana kwa hoja na si kwa kuambizana ujinga, maana tuliomo humu si watoto.
Wewe mbona hujaelewa? Kwa sababu ya kuleta hasara kutokana na kutokuwa na business plan ya brand new long range aircraft (Greamliner) pamaja na raisi kujitahidi kuwanunulia hiyo ndege kwa cash maana mwanzoni walikuwa wanasingizia hawana ndege!!!!!!!!!!!! It is business time siyo muda wote ni wa porojo za kisiasa mkuuKwa sababu ya hiyo tweet?
Msihofu, siku hiyo nilikuwa nimekodi hiyo ndege kwenda Kampala, nikaruhusu abiria watano tu wapande.
Simpendi kabisa Magufuli mnafiki na katili anayejifanya mcha Mungu,natamani kuona akitoweka Duniani haraka hana faida kwa lolote lile hasara tupuMimi nafurahia shirika hili kupata hasara. Taifa hili viongozi utawasikia maendeleo hayana Chama, utawasikia tushikamane. Kama mbele ya halaiki tu wanawasema wapinzani, wanawatesa viongozi wa upinzani utadhani tuko karne ya 16 hivi. Je, wanayoyafanya sirini yakoje. Unafiki umewajaa sana. Leo wapinzani wangapi wana kesi mahakamani ambazo hata kichwa hazina?
Unafiki mimi sina, nafurahia kushindwa kwa utawala huu dhalimu huenda ukajitafakari na kugundua kuwa tunahitaji umoja halisi wa kitaifa na si wakinafiki. Hivi nchi tumefikia kiongozi anasema hadharani nina hasira na CHADEMA, TUTAIFUTA KABISA. Sasa ukiifuta chadema utapata nini?. Utawala wenye dhulma kwa watumishi.
Yapo mengi yanajionyesha menyewe wala sio ya kutafuta,,,by the way mbona husem wanavyo buy airtime daily kufanya show za uznduzi?.. Nyingi zikiwa na lengo LA kuchomekeaaa ya moyoni?.../Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
Mtu nina Gold yangu ya Emirate halafu niende kuanza moja kwenye ndege nisiyojua nitakula chakula gani au kupewa kinywaji gani? Mazoea yana tabu. Sipotezi Gold yangu bure.Msihofu, siku hiyo nilikuwa nimekodi hiyo ndege kwenda Kampala, nikaruhusu abiria watano tu wapande.
Hili suala la kuanzisha route bila kutafakari demand au ushindani wa hiyo route niliongelea humu, watu wa Lumumba wakasema eti mie sio mzalendo. Hata hizi route za China na Mumbai nina wasiwasi nazo.
Nilisema wazi, ATC wasifikiri ni watanzania tu watapanda hizi ndege kwa kuwa ni wazalendo, na kwamba hata kama ni Watanzania sio wengi wa kutosha. Wasidhani abiria wengine watapanda hizi ndege kwa kuwa wanampenda Magufuli hata wakaacha kupanda ndege za mashirika ambayo wao ni wanachama wa frequent flyer programme
Nilipendekeza wajaribu mikakati ya kuvutia, promotion - eidha kushusha nauli sana (economy of scale) au ku-package nauli na kitu kingine, hasa mwanzoni mwa route - mfano fly to Entebe with Air Tanzania and stay one night free at Nile Hotel. Hapo hata mie na my wife wangu tutaenda!
Kwa mfano route ya Kampala, hivi wameangalia nauli ya Dar -Kampala inatofautiana vipi na nauli ya KQ ya Dar-Nairobi-Kampala au Rwandair ya Dar-KIgali-Kampala? Hizi nauli hazipangwi kizalendo bwana, lazima zipangwe kimkakati. La sivyo ATCL watapata tabu sana na hizo ndege, na Magufuli is watching them, haelewi haambiliki!
Haswaa! Halafu jiulize, hivi ukiwa stranded huko Mumbai kwa matatizo ambayo ni yao, ATC wana uwezo wa kukuweka hoteli kama airline zinavyofanya? Hoteli gani huko wanaijua ATC hadi wachukue abiria wao waliokwama? KIla hoteli itataka ATC walipe cash kwanza.Mwishowe abiria mtaombwa kwa ajili ya uzalendo na kumpenda Magufuli mjilipie hoteli hadi ndege itakapofanyiwa marekebisho! Kazi sasa kama wewe ni Mmalawi!Mtu nina Gold yangu ya Emirate halafu niende kuanza moja kwenye ndege nisiyojua nitakula chakula gani au kupewa kinywaji gani? Mazoea yana tabu. Sipotezi Gold yangu bure.
Sana sana wataomba ubalozi uwasaidie wawaweke kwenye guest za vichochoroni. Ukweli sijafika India ila nimekaa sehemu zote zinazoizunguka. Watu tumezoea kuweka 5 stars and 4 na kulala una kula ukikamua kulala Airport. Pale Dubai ukienda ile ya Gold, Silver na Platinum unamzidi aliyelala hotelini. Halafu uniambie haya ya kuletwa?Haswaa! Halafu jiulize, hivi ukiwa stranded huko Mumbai kwa matatizo ambayo ni yao, ATC wana uwezo wa kukuweka hoteli kama airline zinavyofanya? Hoteli gani huko wanaijua ATC hadi wachukue abiria wao waliokwama? KIla hoteli itataka ATC walipe cash kwanza.