Usikariri hivyo Mkuu, tafiti vizuri nchi ya USA inaratibu mradi wa nyumba za kukodisha wananchi wake tangu 1880 na hadi sasa ina zaidi ya nyumba 500,000/=.
So mwananchi atapaswa kulipa kodi katika hiyo nyumba kwa kila mwaka, biashara zinafanywa sana na serikali sema tu ni lazima ziwe zimelenga pazuri katika mikakati mbinu thabiti na hubuni kila kukicha namna ya kuwavutia Wateja kwa kadri watavyobadilika tokana na mahitaj na uvutiwaji wao wa huduma pa1 na bidhaa kwa serikali husika.
Ni nani kakuambia anafurahia mapungufu? Kuripotu mapungufu ni njia ya kuwaamsha wahusika ili wachukue hatua zinazopaswa. Wewe ulitaka apotezee tu? Unajua madhara ya kuona manatatizo na kuyakalia kimya tu?Jamaa kila siku yeye ni kutafuta na kufurahia mapungufu tu.
ATCL wanafanya siasa za ndege.Kama unafikiri Air Tanzania wafanya biashara basi utakuwa uko kwenye usingizi wa pono ........ endelea kulala maana ndoto za asubuhi ni tamu sana ...............!!