Kama hakuna ulazima wa kupanda boda boda, usipande!

Vipi kuhusu bajaj, zenyewe hazichinji kama bodaboda? Binafsi bajaj na bodaboda napanda njia za ndani huko, ila sio lami...yaani Morogoro Road nipande boda au bajaj, hapana nimegoma. Nitasubiri daladala au mwendokasi, huwa sina haraka nikiwa nasafiri...
Mara 1000 boda unaweza iona ajali ukajitetea.. Bajaji ajali ikikufata huna cha kujitetea ni utajikuta hospital au mochwari..

Boda Unaweza hata Kuruka ukaambulia kuvunjika ila ajali ya bajaji ile yenyewe break n mochwari
 
Mkuu,
Bajaj zinachinja kuliko watu wanavyodhani, nimeona mara kadhaa watu watano wamekunjwa ndani ya vile vipaip hawana msaada tena.

Binafsi bajaj na boda ni nadra sana hasa lami, huko ushenzini napanda bila shida kabisa, ila lami hapana.
 
Bajaji si wanasimamaga gafla
Hata wakiwa high way

Ova
 
Mara 1000 boda unaweza iona ajali ukajitetea.. Bajaji ajali ikikufata huna cha kujitetea ni utajikuta hospital au mochwari..

Boda Unaweza hata Kuruka ukaambulia kuvunjika ila ajali ya bajaji ile yenyewe break n mochwari
Duh

Ova
 
Kwani hayo magari hayapati ajali jamani!!
Gari kama daladala likiwa kwenye mwendo wa 40mph mpaka 60mph likipata ajari ni tofauti na. BODA boda ya speed ya 40mph mpaka 60mph ambayo mwilii ndio body yake think TWICE.

BODA BODA ni tofauti na garii period!!!
 
HHujuii ndio maana TULIO ba-ghatika kusoma RISK MANAGEMENT tuna ungana na Manfred 😁😁
[/QUOTE]
Nimesoma risk management pia mwaka wa pili mzee kuna kitu kinaitwa how to four strategies to deal with negative risks
1.accept 2.avoid 3.mitigate 4.transfer risks😑😁nakumbuka kumbuka kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom