Kama hakuna ulazima wa kupanda boda boda, usipande!

Kama hakuna ulazima wa kupanda boda boda, usipande!

Boda boda ni machinjio inayotembea,....hiyo kitu ni hatari mno , na kwa bahati mbaya zaidi watu wamegeuka kuwa wategemezi wakubwa wa boda boda hata kwa mahali pasipo na ulazima wa kuitumia,.......na hatari zaid n pale inapopalamia hata wasio watumiaji wa hayo maboda boda ,.....so sad 😢😢😭
Hatari sana kwa kweli.... Mungu atunusuru na ajali
 
Scenario ya kumeza sumu ama kujifungia na jiko la mkaa chumbani ni tofauti na hii ya kupanda boda boda!
Kama ungesoma RISK MANAGEMENT ungejua.

ENDELEA kupanda BODA BODA dar es salaam utakumbuka maneno yangu ni Jambo la muda TU unafikiwa.

Haijalishi unafuata road safety Ila BODA BODA wapo kwenye risk Sana Sanaa

Mimi kidogoo muda huu kaburii langu lingekua linajengewa huu mwaka.
 
Hatari sana kwa kweli.... Mungu atunusuru na ajali
kweli mkuu,....kuna watu kibao ni walemavu na wengine wamepalalaizi kabisa sababu ya hii kitu,....bila kusahau marehemu,...tatizo kubwa ni pale ambapo SERIKALI inachukulia poa sana hili janga,...angalia dereva ambaye amesababisha ajali sababu ya uzembe wa hali ya juu vile atavyokuwa chukuliwa hatua , ni kana kwamba hamna jambo serious limetokea....
 
Kama ungesoma RISK MANAGEMENT ungejua.

ENDELEA kupanda BODA BODA dar es salaam utakumbuka maneno yangu ni Jambo la muda TU unafikiwa.

Haijalishi unafuata road safety Ila BODA BODA wapo kwenye risk Sana Sanaa

Mimi kidogoo muda huu kaburii langu lingekua linajengewa huu mwaka.
Walojengewa makaburi mwaka huu source ya vifo vyao ni kupanda boda boda!? Kifo na ajali ni muda wwt na huwez kufa mpk mungu atake! Wangapi wanajaribu kujiua na wananusurika !!
 
Walojengewa makaburi mwaka huu source ya vifo vyao ni kupanda boda boda!? Kifo na ajali ni muda wwt na huwez kufa mpk mungu atake! Wangapi wanajaribu kujiua na wananusurika !!
Huo ni ujingaa
 
Uko sahihi...

Tunatumia sana Boda bila sababu za msingi

Ni moja ya njia za hatari sana kwenye usafiri..

1.Hujui vigezo vya dereva boda
2.Hujui kama ni dereva mzuri au Lena
3.Hujui kama anajua sheria za road au lah
4.Hujui kama katumia kinywaji au hajatumia
5.Hamna njia ya kumkagua dereva boda yeyote safari ikishaanza.

Panda BODA for your own RISK na kama ikibidi mara 100 u request Boda wa BOLT

Kwann Bolt

1.Uhakika wa Utambulisho wake
2.Uhakika wa anajua sheria za road
3.Uhakika ana vibali vya kutumia hyo pkpk
4.Nyinginezo
Kwa DSM miundombinu ilivyo sio rafiki Sana haijalishi wewe ni mtaalamu ah sio mtaalamu kwukuwa unaweza ukawa umechukua precautions zote Ila ukasababishiwa accident .

Mfano ajali iloyotokea Jana bodaboda aligongwa na mwenye gari kwa nyuma .

Means Barabara ambayo wanatumia boda boda ndo hiyo wanatumia watu wa Magari .

Kule Bukoba kuna nafuu Fulani ambayo inaweza ikawa tofauti na DSM .

MTU yeyote ambaye ameishi DSM anaelewa kuwa hakuna mazingira rafiki ambayo yanaweza kumfanya bodaboda Kuwa safe.
 
Walojengewa makaburi mwaka huu source ya vifo vyao ni kupanda boda boda!? Kifo na ajali ni muda wwt na huwez kufa mpk mungu atake! Wangapi wanajaribu kujiua na wananusurika !!
Sawa kama upo dar es salaam endelea kupanda usafir wa BODA BODA Ni Jambo la muda utafikiwa TU.....

NB. JIKITE KWENYE MADA YA USAFIR WA BODA BODA DAR ES SALAAM TANZANIA SAWA

BODA BODA KWA DAR ES SALAAM NI VERY RISK NENDA ZAMBIA UONE KAMA KUNA SURPLUS POPULATION YA BODA BODA kama hapa TANZANIA

Ulemavu, vifo vya ajari barabarani major ni BODA BODA ie. Nenda moi, hata Temeke hospital ujionee wahanga wa BODA BODA
 
Bila shaka utakuwa umeona ajali mbaya sana ya bodaboda šŸ™Œ, Ila hayo mambo ni kawaida sana kwa sisi wakazi wa dar es salaam.
 
very true watu wamekuwa walemavu kwakuwa ma ajali ya kila namna yanatokea kwa hao jamaa plus bangi na visungura kimsingi wanawaita maafisa usafirishaji kwa ajili ya ujinga wao tu na wanawatumia kwenye siasa lakini hao jamaa ni janga kabisa kwa nchi.
Ajali inaweza kutokea mazingira yoyote yale,si lazima bodaboda japo sikatai kuwa inachangia..
Tuombe Mungu atunusuru!!
 
Sawa kama upo dar es salaam endelea kupanda usafir wa BODA BODA Ni Jambo la muda utafikiwa TU.....

NB. JIKITE KWENYE MADA YA USAFIR WA BODA BODA DAR ES SALAAM TANZANIA SAWA

BODA BODA KWA DAR ES SALAAM NI VERY RISK NENDA ZAMBIA UONE KAMA KUNA SURPLUS POPULATION YA BODA BODA kama hapa TANZANIA

Ulemavu, vifo vya ajari barabarani major ni BODA BODA ie. Nenda moi, hata Temeke hospital ujionee wahanga wa BODA BODA
Kila sehemu Ina namna yake ya kuishi .

Ukiwa DSM ni tofauti na ukiwa kusini Lindi , Mtwara au Bukoba .

DSM boda hazina mazingira salama kuanzia miundombinu .

Swala la kunywa pombe , Dereva kukosa umakini hii inaweza ikawa ziada .

Mfano tabia walizonazo Dereva wa daladala hazina utofauti na bodaboda Ila ni nadra Sana usikie ajali inayohusisha daladala moja kwa moja.

Wengi waendesha daladala , wanalewa muda wa Kazi. Hawapo competent n.k Ila barabara zinawa favor .

Kwahiyo ikiwa MTU anaona hakuna ulazima wa yeye kupanda hiyo kitu asipande .
 
Nakumbuka mkuu wa mkoa wa Kagera miaka 2000 alikuwa ni Jenerali Kiweru, alipiga marufuku biashara ya bodaboda, maana ndiyo ilikuwa inaanza kwa hapa Tanzania. Msukumo wa kisiasa ulimshinda, maana bunge lilipitisha sheria inayoruhusu pikipiki kufanya biashara.
 
I remember those days na ilikuwa inapigiwa chapuo na Mh Lwakatare CUF bay that time he was MP wa Bukoba from 2000-2005

That was poor plan
 
Pumbaf asiyepanda bodaboda Nchi hii ni viongozi wakuu na wafanyabiashara wakubwa.Wengibe wote haikwepeki.
 
Vipi kuhusu bajaj, zenyewe hazichinji kama bodaboda? Binafsi bajaj na bodaboda napanda njia za ndani huko, ila sio lami...yaani Morogoro Road nipande boda au bajaj, hapana nimegoma. Nitasubiri daladala au mwendokasi, huwa sina haraka nikiwa nasafiri...
 
Mwambie tayari ushafika!

FB_IMG_17519737010885015.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom