Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,780
- 3,329
Pole sana, umepona sasa?Endelea kupanda yalikukuta ndio UTAKUJA kujua.
Unajua kutembea ni process nilikua nawa onea watu wivu nikiona wanatembea.
Muda kama huu nilikua najifunza kutembea kama mtoto anae jifunza kutembea..unapiga HATUA mbili tatu unashindwa..Kuna muda nikitembea kidogo natokwa na MACHOZI Ila NASEMA goshiii Mimi ni mwanaume najikaza.
NB. Mimi nilikua najionaga binadamu imara / suree hakuna binadamu special nimepanda BODA BODA kama miaka 10 highway 🛣️ dar es salaam Ila siku moja ikaniweka nyumbani / hospital mwaka MZIMA.