Kama CHADEMA wamekataa nafasi 19 za Wabunge wa Viti Maalum na ruzuku basi watuombe radhi sisi Wapiga kura wao

Alimwabia spika, shughurika nao ndani huko, wakitoka nje mimi ntapambana nao huku nje...

ULIELEWA NINI KWA MANENO HAYO?
Spika sio mahakama. Aliwaambia hata watendaji wa serikali kuwa wasiruhusu wapinzani washinde. Swali langu ni je aliwahi kuiambia mahakama hadharani wasiwatendee haki upinzani?

Amandla...
 
Spika sio mahakama. Aliwaambia hata watendaji wa serikali kuwa wasiruhusu wapinzani washinde. Swali langu ni je aliwahi kuiambia mahakama hadharani wasiwatendee haki upinzani?

Amandla...
We Amandla, hadharani siyo sehemu pekee pa kukataza jambo...
 

mnyika mwenyewe hajui chadema inataka nn, what are you talking about, sku izi mmekua wazee wa kusubiri matukio
 
Nani kakudanganya kwamba Chadema ni mali ya Watanzania? Kwa taarifa yako Chadema ni mali ya Mbowe, wewe utabakia kupanua vidole tu
 
Wale akina mzee Halima ni wabunge wa mzee mwendazake na yule kiandunje anaendelea kujitutumua
 
Ukiutafakari uchaguzi wa 2020, na matukio kadhaa kabla yake, ni ngumu sana kuamini kuwa marehemu alikuwa binadamu!! Mtu wa dhuluma kiasi kile, hawezi kuwa na heri katila maisha yake, na aghalabu huupa laana uzao wake wote.
 
Sasa yule mbunge wa Nkasi alipatikanaje?
Marehemu alikuwa hajui kuwa bila wabumge wa upinzani hupati ile pesa ya msaada kiasi cha zaidi ya trilioni 1 kwa mwaka. Alivyokuka kubiwa, akaagiza kuwa majimbo ambayo hawajatangaza washindi wa ubunge, wawatangaze wapinzani. Kumbe jimbo lililokuwa limebakia lilikuwa hilo moja 1. Baada ya hapo akaanza kuhaha, akaagiza wqtakaokwenda mahakamani, wapewe ushindi wa kimahakama ili wabunge wa upinzani wapatikane, wapinzani kwa vike walikuwa mbele yake kifikra, hakuna aliyeenda mahakamani.

Marehemu akabakia kuwa mtu wa kihoro. Makusanyo ya serikali yanaoungua, wanaomwunga mkono wamepunfua, jumuia ya kimataifa ikimlaani kwa udikteta, pesa za msaada zikawa zimekatwa panga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…