Kama bado unapishana sheli..Mshukuru Mungu

Kama bado unapishana sheli..Mshukuru Mungu

Mibongo bana kwa kupenda na kuendekeza anasa. Ya nini hiyo mi Vitz na migari na miguta ya kuchaji wakati mna miguu?
Muda Kaka.
Nakaa USA RIVER nafanya kazi Njiro au Kisongo Airport Arusha nitatumia masaa mangapi kwa miguu?
Nakaa Chanika nafanya kazi Sea Cliff Alcove Masaki Dar nitatumia masaa mangapi?
Nakaa Pasiansi au Bwiru nafanya kazi Buzuruga Mwanza nitatumia masaa mangapi kwa Miguu?
 
Za chaji na mafuta zipo zenji

Usafiri mpaka dar unapatikana
 

Attachments

  • Screenshot_20260512-130138_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260512-130138_WhatsApp.jpg
    122.5 KB · Views: 11
  • Screenshot_20260512-130143_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260512-130143_WhatsApp.jpg
    116.5 KB · Views: 12
Bajeti yangu imebaki ile ile. Yaani naweka hela ile ile. Nilichofanya nimepunguza trips naishi kama kipindi cha Covid 19 nafanya WFH.
 
Mwafrika badala ajishukuru mwenyewe kwa juhudi na jitihada zake binafsi.

Amepumbazwa kutoa sifa na shukrani kwa li dude linaloitwa Mungu.
Sasa hizo nguvu za juhudi zako binafsi umezitengeneza mwenyewe? Hili ndio tatizo la kushiba unaona wewe ndio wewe.
 
Yani tunakomaa ivyo ivyo tu mpk miezi 2 tuone itakuaje?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Sasa hizo nguvu za juhudi zako binafsi umezitengeneza mwenyewe? Hili ndio tatizo la kushiba unaona wewe ndio wewe.
Huyo Mungu alitengenezwa na nani?

Kwa nini unataka nguvu zangu na juhudi zangu ziwe zilitengenezwa?

Huyo Mungu na yeye alitengenezwa na nani?

Unaijua infinite regress?
 
Back
Top Bottom