akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,706
- 1,052
KY haitumiki kulainisha nyuma tu kama wengi nilivyoona mmehisi ila hata mbele kama ww ni mkavu inasaidia sasa basi inawezekana kweli anachepuka lakn sio lazma awe anachepukia nyuma na pia aliikuta imetumika au mpya? Kama ni mpya labda anataka atumie na mumewe
Haina kazi nyingine zaidi kuwa kilainishi cha "nyuma" na "mbele"?