Kakuta KY kwenye pochi ya mke wake

Kakuta KY kwenye pochi ya mke wake

KY haitumiki kulainisha nyuma tu kama wengi nilivyoona mmehisi ila hata mbele kama ww ni mkavu inasaidia sasa basi inawezekana kweli anachepuka lakn sio lazma awe anachepukia nyuma na pia aliikuta imetumika au mpya? Kama ni mpya labda anataka atumie na mumewe
typical women excuses,yaani nimekukuta na kizibo alafu unaniambia upuuuzi wa namna hiii?....hata hiyo KY maskini mumewe hakuwahi kudi scuss nae kuitumia ndio maana kashangaa...mimi ningefanya maamuzi magumu!
 
KY haitumiki kulainisha nyuma tu kama wengi nilivyoona mmehisi ila hata mbele kama ww ni mkavu inasaidia sasa basi inawezekana kweli anachepuka lakn sio lazma awe anachepukia nyuma na pia aliikuta imetumika au mpya? Kama ni mpya labda anataka atumie na mumewe

Ushaambiwa used ...unauliza nn tena?
 
!
!
Huwezi jua, labda ni ya shosti ake
kama hiyo Ky ingekuwa ameikuta kabatini au popote chumbani mtu ungeweza kusema kuwa anaitumia humo nyumbani kwao. lakini Ky imekutwa katika pochi ambayo anatembea nayo akitoka nyumbani ni dhahiri hiyo KY inatumika nje ya nyumbani. sasa suala linabaki anaitumia kufanyia nini anapokuwa nje na nyumbani. Mwenye mke ategue hapo.
 
Huwa mwawapata wapi hao watu wenye vituko?
Dating, Courtiship afu marriage. Ila sisi twaokota watu mtaani kesho kutwa twatangaza ndoa
 
Ndugu yangu hapo no way ni talaka tu.. Mke keshapumuliwa kisogoni. Dahhh inauma hyo
 
Sidhani kam yan kazi nyingne mkuu zaid ya kulainisha.Nimefikiria meng yani mpaka lunch tym huyu shemej atakuwa anaitumia vizuri

Jamani ky nimafuta yanayo tumika kwenye kipimo cha ultrasound, lakini watoto wa mjini wanatumia kwenye yao.
 
Bado nipo nipo sana.

Habari great thinkers.

Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Ni rafiki yangu wa karibu sana, ndoa yake ina miaka miwili 2.

Amekuja kwangu kuniomba ushauri. Kwa uwezo wangu mdogo wa kufikiria kwa kweli juu ya hili swala napata wakati mgumu kutoa ushauri.

Nipo nae hapa 1 haikai wala 2.

Hana tabia ya kukagua pochi ya mke wake lakini leo kama bahati mbaya tu nadhani mke wake pia alijisahau, akamuomba mume wake amtolee simu kwenye pochi wakati inaita(yeye alikuwa anapika) ndipo jamaa alipokutana na KY iliyotumika kwenye pochi ya huyo mke wake.

Kwa maelezo yake alikosa nguvu kuanza kumuuliza mke wake matumizi ya hiyo ky.

Tukio lina kama masaa mawili hivi.

Yupo kwangu muda huu coz tunakaa wote Tabata. Ni mara ya kwanza kuja kunishirikisha tatizo kama hili.

Upande wangu nashindwa kumpa ushauri uliokamilika kwa kweli.

Nikaona sio vibaya kulileta tatizo kwa great thinkers.

Nimshauri nini?

karibuni
Daaaaa, mkuu mrejesho vipi
 
Mleta mada,

Hapo kuna mambo mengi:
1. Umesema kuwa jamaa hana tabia ya kukagua pochi ya mke wake, hivi jamaa amejiuliza ni kwa nini mkewe kamtuma jamaa leo kumchukulia simu kwenye pochi wakati anajua pochi yake hiyo ina KY iliyotumika? Napata ugumu sana kuungana na wewe kudhani kuwa mke wake alijisahau. Kumbuka kuwa mke mwenyewe ndo kamtuma jamaa na si kuwa mume kapekua pochi ya mke kwa surprise.
2. Hivi kweli mwizi wa mapenzi angeweza kurisk kuacha KY iliyotumika kwenye pochi yake alafu amtume mumewe tena 'mwenye tabia ya kupanic' amchukulie simu kwenye pochi?
Inawezekana alishaitumia muda tu na IPO kwenye pochi mda mrefu so siku iyo ndo kajisahau kamtuma husband ,bila kumbuka Kuna kitu umo
 
Back
Top Bottom