Kakuta KY kwenye pochi ya mke wake

Kakuta KY kwenye pochi ya mke wake

kwan ky haina kazi nyingne zaidi ya kufumua malinda?
Sio mbaya na mm nikajua coz kuna rafiki yangu alikuwa anaulizia hayo mafuta ya ky japo kuna watu walianza kumcheka.

Sio lazima marinda, matumizi yake hasa ni kulainisha uke kwa wale wanawake wakavu ili kuzuia michubuko, na pia matumizi ya kimaabara kama surgery ya uke na vipimo vingine vinavyohitaji kuingiza kitu huko...

Ila ndo wajaa laana wanaitumia kuzibuana mitaro....!
 
Ky hutumika katika kufanya transvaginal ultrasound

Ky hutumika hata pale mwanamke anapokuwa na pessaries au vidonge vya kuingiza ukeni

Ky hutumika pia mwanamke anapotumia tampons ktk siku zake za hedhi

Au huweza kujipaka kwa siri kama mume hajui kumuandaa

Sio kila kitu kukichukulia kiubaya

Anyway

Huu uzi kama unajirudia vile
 
KY haitumiki kulainisha nyuma tu kama wengi nilivyoona mmehisi ila hata mbele kama ww ni mkavu inasaidia sasa basi inawezekana kweli anachepuka lakn sio lazma awe anachepukia nyuma na pia aliikuta imetumika au mpya? Kama ni mpya labda anataka atumie na mumewe

Kama mwanamke anakuwa mkavu sana, mafuta mengine mazuri ya kulainisha ni Dulexy.
 
Jamani siku izi wadada wanavaa suruali zinazobana bana sana hivyo wakati mwingine huwa inawapa shida kwenye kuvaa na kutoa hizo suruali especialy jeans..hivyo inawezekana mdafada wa watu anaitumia hiyo ky kwa kulainisha miguu ili suruali ipite haraka...!
 
uyo mkewe anafanya kaz gn?au ni dokta lbd koz hyo KY inatumika kwny opereshen theater lbd kajsahau kaja nayo om
 
kwan ky haina kazi nyingne zaidi ya kufumua malinda?
Sio mbaya na mm nikajua coz kuna rafiki yangu alikuwa anaulizia hayo mafuta ya ky japo kuna watu walianza kumcheka.

Siyo marinda tu ni kulainisha uke pia
 
Hii thread naomba kuuliza swali tu. Zaidi ya kulainisha hayo maeneo ya baharini haina kazi ingine? Yaani ni sawa na condom? Single function and single use? Kama jibu ni ndiyo basi kimenuka mbaya

Ni kama condom labda mganga akutume
 
Sio lazima marinda, matumizi yake hasa ni kulainisha uke kwa wale wanawake wakavu ili kuzuia michubuko, na pia matumizi ya kimaabara kama surgery ya uke na vipimo vingine vinavyohitaji kuingiza kitu huko...

Ila ndo wajaa laana wanaitumia kuzibuana mitaro....!

asante kwa maelezo yako. Mm hata skujua kuna jamaa yangu alikuwa anaulizia nikakuta watu wanamcheka sasa skuelewa kwann wanacheka ila baadaye ndio nikaambiwa ni special kwaajili ya kuzibulia vyoo
 
Hii thread naomba kuuliza swali tu. Zaidi ya kulainisha hayo maeneo ya baharini haina kazi ingine? Yaani ni sawa na condom? Single function and single use? Kama jibu ni ndiyo basi kimenuka mbaya

K-Y Jelly's original stated purpose was as a surgical lubricant, and it was often chosen by doctors because of its natural base. The product is now more widely used as a sexual lubricant.
KY jelly.jpg A tube of K-Y Jelly.jpg
 
Najua ni wewe mkuu ila umefichaficha. mlete huyo mke kwangu nimkanye.
 
Mleta mada,

Hapo kuna mambo mengi:
1. Umesema kuwa jamaa hana tabia ya kukagua pochi ya mke wake, hivi jamaa amejiuliza ni kwa nini mkewe kamtuma jamaa leo kumchukulia simu kwenye pochi wakati anajua pochi yake hiyo ina KY iliyotumika? Napata ugumu sana kuungana na wewe kudhani kuwa mke wake alijisahau. Kumbuka kuwa mke mwenyewe ndo kamtuma jamaa na si kuwa mume kapekua pochi ya mke kwa surprise.
2. Hivi kweli mwizi wa mapenzi angeweza kurisk kuacha KY iliyotumika kwenye pochi yake alafu amtume mumewe tena 'mwenye tabia ya kupanic' amchukulie simu kwenye pochi?

Brothr may be ndiy ilikuw 40 yake.
 
Back
Top Bottom