X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,721
- 14,851
amuulize kisha kwa ujasiri amsamehe
Duh wamjini mnafaidi technolojia wa vijijini tunafaidi kilimo kwanza. Kumbe kuna hiyo makitu siku hizi? sikuwahi kujua.Kilainishi cha maingiliano au gilisi ya mwili.
Kesho Yake
Daah! Umenikumbusha mbali sana!
Miaka kama mitatu nyuma, nilikuwa na girl friend wangu, alikuwa akari police, wp.
Alikuwa bunti mmoja mpole na mtaratibu, tena mshika dini mzuri tu,
Sasa baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa muda wa kama miaka mitano, siku mmoja tuka arrange tukutane faragha kama kawaida ya wapenz,
Haikuwa mara ya kwanza kukutana, lakin siku hiyo ilikuwa ya peke yake kwasababu yakile kilichotokea ,
Nakumbuka ilikuwa kibaha white house, nje kidogo ya jiji la dar es salaam.
Tukiwa kwenye mahabati si ndipo bibie akatoa hiyo kitu ya "k-y" aliniomba niitumie kwake kwa "kuruka ukuta" eti yeye huwa asikii pleasure bila kukamilisha na hiyo kitu!
Mamaa yangu! Mtumeee! Nilihisi kama nimepigwa na shot ya umeme!,nikasema Kumbe nimepotea njia!
Nikidhani nina wife to be, Kumbe majanga!
Nilipoondoka siku hiyo hakuniona tena mpaka leo! Umenikumbusha mbali sana!
Nadhan huyo mkewe atakuwa addicted na hayo mambo sema alishindwa kumwambia mumewe sababu ana muheshimu as husband.
KY haitumiki kulainisha nyuma tu kama wengi nilivyoona mmehisi ila hata mbele kama ww ni mkavu inasaidia sasa basi inawezekana kweli anachepuka lakn sio lazma awe anachepukia nyuma na pia aliikuta imetumika au mpya? Kama ni mpya labda anataka atumie na mumewe
KY haitumiki kulainisha nyuma tu kama wengi nilivyoona mmehisi ila hata mbele kama ww ni mkavu inasaidia sasa basi inawezekana kweli anachepuka lakn sio lazma awe anachepukia nyuma na pia aliikuta imetumika au mpya? Kama ni mpya labda anataka atumie na mumewe
Duh wamjini mnafaidi technolojia wa vijijini tunafaidi kilimo kwanza. Kumbe kuna hiyo makitu siku hizi? sikuwahi kujua.
Najua mlio wengi hapa jukwaani hamjawahi hata kujua hata kopo la K-Y lina fafanaje, hizo ndio picha zake. for more details nitakuja, ila haya mafuta mtu akiwa nayo lazima ushituke kunani. kwani walio wengi huwa ... ma bwabwa/mchicha mwibaKY ndo nini mkuu??
imeshatumika...
Daah alinisimulia hiyo stori huyo gf wako,tena baada ya hapo akahamia kwangu mpaka leo ninae.
Ndo basi tena wakuu wameamua kunyoosha marinda aisee.... mshauri asichukue maamuzi haraka ya ku mwacha wakae kwanza waongee....
siku hizi wageni wanakaribisha mlango wa uwani....
hiyo ky inatumika kufanya nn wadau
Nahisi kama mtu analiwa marinda sijui macho yangu tu