City hunter j
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 926
- 380
Bado nipo nipo sana.
Habari great thinkers.
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Ni rafiki yangu wa karibu sana, ndoa yake ina miaka miwili 2.
Amekuja kwangu kuniomba ushauri. Kwa uwezo wangu mdogo wa kufikiria kwa kweli juu ya hili swala napata wakati mgumu kutoa ushauri.
Nipo nae hapa 1 haikai wala 2.
Hana tabia ya kukagua pochi ya mke wake lakini leo kama bahati mbaya tu nadhani mke wake pia alijisahau, akamuomba mume wake amtolee simu kwenye pochi wakati inaita(yeye alikuwa anapika) ndipo jamaa alipokutana na KY iliyotumika kwenye pochi ya huyo mke wake.
Kwa maelezo yake alikosa nguvu kuanza kumuuliza mke wake matumizi ya hiyo ky.
Tukio lina kama masaa mawili hivi.
Yupo kwangu muda huu coz tunakaa wote Tabata. Ni mara ya kwanza kuja kunishirikisha tatizo kama hili.
Upande wangu nashindwa kumpa ushauri uliokamilika kwa kweli.
Nikaona sio vibaya kulileta tatizo kwa great thinkers.
Nimshauri nini?
karibuni