Kakuta KY kwenye pochi ya mke wake

Kakuta KY kwenye pochi ya mke wake

Buhaaaa ha ha ha ha ha haaaa,jamani mbavu zetu huku,yaani katika siku nilizocheka maishani na leo pia ni mojawapo..kila mtu kanichekesha sana,mtamuua huyo mwenye mke anayetaka ushauri wakati nna uhakika ashajua nini kinaendelea kwa mkewe..sad😔😔
 
Hii hali kwa sasa inatisha..kwa wale ambao hatupendi kuwafanyia wanawake haka kamchezo itakula kwe2...

Mwambie mshikaji my wife wake kashatolewa bikra ya nyuma na wajanja..so sad.
 
tupieni hata pic tuone box lake likoje me siijui kabisa plz
 
mwambie leo ajifanye amekosea nje ukiona hashtuki atoe afu amuulize vzr
 
KY haitumiki kulainisha nyuma tu kama wengi nilivyoona mmehisi ila hata mbele kama ww ni mkavu inasaidia sasa basi inawezekana kweli anachepuka lakn sio lazma awe anachepukia nyuma na pia aliikuta imetumika au mpya? Kama ni mpya labda anataka atumie na mumewe

used mkuu pitia vzr....
 
kwan ky haina kazi nyingne zaidi ya kufumua malinda?
Sio mbaya na mm nikajua coz kuna rafiki yangu alikuwa anaulizia hayo mafuta ya ky japo kuna watu walianza kumcheka.

Sidhani kam yan kazi nyingne mkuu zaid ya kulainisha.Nimefikiria meng yani mpaka lunch tym huyu shemej atakuwa anaitumia vizuri
 
Angekua anapiga mzigo vizuri angesha jua watu wanagusa kokwa
 
Jamani acheni kuharibu nyumba za watu. ky hutumika hata mbele pia. Kwani ni lazima mtu mwingine akutie hiyo lainishi? Si huyo mama aweza kuwa anaitumiaga kwa hasby wake bila kumwambia?
Yaani mwenzako hata akipatwa na tumbo lililovurugika utasema kafumuliwa marinda ulipokuwa kazini? Ni mawazo yenu potofu tu, atakuwa ni kichaa mama huyo kumwambia mume afungue pochi yenye hazina yake kubwa hivyo.
Mama hakuwa na nia mbaya kuwa nacho hicho kilainishi, nyie ndo mnampakazia.
 
Hii thread naomba kuuliza swali tu. Zaidi ya kulainisha hayo maeneo ya baharini haina kazi ingine? Yaani ni sawa na condom? Single function and single use? Kama jibu ni ndiyo basi kimenuka mbaya

Vijijini watoto hutumia used condoms kama mapulizo ndugu..........
 
Mleta mada,

Hapo kuna mambo mengi:
1. Umesema kuwa jamaa hana tabia ya kukagua pochi ya mke wake, hivi jamaa amejiuliza ni kwa nini mkewe kamtuma jamaa leo kumchukulia simu kwenye pochi wakati anajua pochi yake hiyo ina KY iliyotumika? Napata ugumu sana kuungana na wewe kudhani kuwa mke wake alijisahau. Kumbuka kuwa mke mwenyewe ndo kamtuma jamaa na si kuwa mume kapekua pochi ya mke kwa surprise.
2. Hivi kweli mwizi wa mapenzi angeweza kurisk kuacha KY iliyotumika kwenye pochi yake alafu amtume mumewe tena 'mwenye tabia ya kupanic' amchukulie simu kwenye pochi?
 
Back
Top Bottom