Kaka zetu kuvaa hivi ndo mnamaanisha nini?

Kwa ninavyojua mimi mtu ata akivaa suruali ndani haitakiwi ionekane maana tunaichukulia ni kama nguo ya ndani
 
Duuuu! Huo si mlegezo ni uchi!
Kha mbona huyu kavaa vizuri, unakutana na konda kavaa mlego hafu ndani hajavaa kitu na mbaya zaidi ****** anayaacha ndani yeye anainama hafu kichwa katoa nje kwenye hiace ndo balaa.
 
Kha mbona huyu kavaa vizuri, unakutana na konda kavaa mlego hafu ndani hajavaa kitu na mbaya zaidi ****** anayaacha ndani yeye anainama hafu kichwa katoa nje kwenye hiace ndo balaa.

Ukikutana na konda kama huyo unamgusa hapohapo alipopaacha wazi akikuangalia unamwambia niache kituo flani
 
na akina dada nusu uchi..... mme waweza kuufikicha mfuko na kujimaliza huku unakodolea mapaja na hoooopeeeesssss..
 
Wakikuwa wataacha, ni mambo ya fashen tu:

saggy-pants.jpg
 
N ulimbuken na kujiona mjanja kumbe ***** t achen kuiga vitu ambavyo havina faida kwenye maisha yenu mwatuonesha vitako vyenu kwan c hatujui ka mnayo jieshimun nyie jiulize mara 2 kabla hujafanya hcho unachotaka kfanya
 
hii nayo kali wajifanya mafundi kumbe wanatangaza biashara check mgongo huo,
 
Back
Top Bottom