Kaka zetu kuvaa hivi ndo mnamaanisha nini?

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Kaka zetu kuvaa hivi ndo mnamaanisha nini kama siyo kujidhalilisha?

431578_131865273602633_753666168_n.jpg
Muwe macho kwani mnakoelekea siyo kuzuri
 
Wabongo hawakawii kuiga kila kitu bila hata kujua kilianzia wapi. Soma historia yake hapo chini

BjoxiKY9sZ15AAAAAElFTkSuQmCC


Sagging Pants History
A popular fashion trend today, wearing sagging pants was not at all a fashion trend, nor was it introduced as one. Although there are quite a few versions of how sagging was introduced to the fashion arena, sagging pants origin can be traced to the American prison inmates who wore loose fitting prison uniforms without a belt. In those days, belts were popular weapons used by the inmates in prison, either to commit suicide or murder others by hanging or strangling them. Same was the case with shoe strings, and hence both these objects were banned in prison. In such circumstances, people with over sized uniforms were left with no option but to let their pants hang loose below their waist. Eventually, the inmates became so used to this, that the trend continued even after the inmates were freed once their term was completed. The trend of sagging pants got a major boost as a style statement when rappers started wearing them in 1990s. This made the style popular among hip-hop fans who fancied following their idols on stage and in music videos. Soon enough, sagging pants became one the most popular fashion trends among the youth, something which didn't really go down well with everyone.

Some people still believe that this notorious trend was an African-American creation which was eventually embraced by the mainstream culture. There are some more versions which associate the trend of sagging pants with homosexuality and the world of crime, wherein criminals used these loose clothing to hide their weapons. These things were however dismissed as baseless allegations, owing to lack of substantial evidence.
 
So tuwaelimishe je vijana wabadilike na kuanza kuzifunga suruali sehemu husika?
 
hakuna staili za uvaaji nizichukiazo kama kuvalia suruali chini ya makalio au Kata K na kwenye tumbo au juu ya tumbo...kwani mkivalia kiunoni na mkafunga mikanda kwa unadhifu kabisa huwa mnajisikiaje???
 
Yaani huwa najisikia kukata pumzi nikiwaona vijana wamevaa hivyo. Ila ndo hivyo tena usasa kwa kwenda mbele
 
Huo ni ujuha tu. Inawezekana hao ni sababu ya mihadarati na kokeini kwa kwenda mbele.....!
 
Vijana wa siku hizi bwana... Sisi enzi zetu kulikuwa hakuna mambo kama haya. Ukiwaambia wanakwambia eti tunakwenda na wakati wakati wao wanapotea. hakuna lolote hapa zaidi ya upumbavu mtupu
 
nawashauli wawe wanafua hizo boxer wanazo tuonyesha , nyingine ni chafu hadi haijulikani mwanzoni ilikuwa na rangi gani
 
Huo ni ujuha tu. Inawezekana hao ni sababu ya mihadarati na kokeini kwa kwenda mbele.....!

Mbona siyo mateja pekee wanaovaa hivyo, kwani siku hizi hata wasomi wetu vyuoni wameweka vipao mbele ktk uvaaji huu
 
Vijana wa siku hizi bwana... Sisi enzi zetu kulikuwa hakuna mambo kama haya. Ukiwaambia wanakwambia eti tunakwenda na wakati wakati wao wanapotea. hakuna lolote hapa zaidi ya upumbavu mtupu

Enzi zako zipi mkuu
 
nawashauli wawe wanafua hizo boxer wanazo tuonyesha , nyingine ni chafu hadi haijulikani mwanzoni ilikuwa na rangi gani

Hilo ndilo tatizo lingine kubwa maana wengine ninahisi wanavaa hata wiki bila kuigusisha na maji
 
Back
Top Bottom