Morning glory
Senior Member
- Mar 20, 2014
- 149
- 55
Hapa duhKaka yako ni shipping agent huko UK?
Hapa duhKaka yako ni shipping agent huko UK?
Marekani mkuu tena state inaanza na. Mi
Weeeewe umekuja kuwaje asee!!!!!
Haya mawazo unayotoa ni ya mtu aliyekutana madhila mpaka akaamua kuwa flexible the you and I's!!!!!!
Huyu bado na ndio maana kaja hapa so ni suala la kumuelewesha ila tunaanza kwa kuelewa situation yake kwanza ndio maana nikasema ukomavu ni "acquired syndrome".....!!!!!!
Sawa akzi wanapiga sanaa tu na wengi tuna ndugu huko ila japo kwa mwezi they halla!!!!! Sasa kimyaaaaaa kabisa !!!?????Ndio mapenzi ya kimoyomoyo kama yako kwangu au nini!!????
Dogo anapitia kipindi tight ila maadamu kaamua kuliweka wazi basi ndio utatuzi umeanza na atakuwa poa muda unavyoenda, anasema kasoma na anajishughulisha so i hope and wish apate channel yake na Mungu amsimamie juu ya kupata atakacho!!!!!
Mi namuelewa sababu nilipitia kipindi flani wazazi wakiwa nje na mmoja akiwa mgonjwa but ndugu were just kimya flani tu hata ile kujuwa hali inakuwa ngumu flani na mie nikiwa ndo mkubwa basi unaona dunia kama uko mwenyewe vile!!!!!!!!Ila that gave me kuelewa na kujipozisheni upya ndio maana sasa ni kubwa la maadui nambari wani I learned it in a hard way!!!!!
So ataweza tu
Nina kaka wa damu ughaibuni ila amenitenga na hivyo hatuna mawasiliano mazuri kwa mda sasa.Huyu Jamaa wakati Maza alifariki tulijadiliana aende ughaibuni kwa kuchukua fedha alizoacha marehemu mama kwa ajili ya yeyey na Mimi kusaidiana,sasa amenitenga na ni Kama amenisahau na tunazaliwa wawili tu kwa baba na mama.Naskia hasira na ma chungu nkimkumbuka Jamaa na amenisababisha kuhate all diasporas will all my heart
Wakati mwingine nadiriki kusema wamemloga braza wangu
Mimi nilijichagulia maisha nitakayo kwa kujifunza mapeema kwa waliokuwa wananizunguka. Nimewaona watu wakiumia na mahusiano (ya mapenzi, undugu hata urafiki). Nikajiamualia haya hayatakuwa kwangu!!! So, naweza kusema sijajifunza kwangu bali niliona toka mbali.
sasa bestito, ulitaka wote tuungane nae humu kulia na kumuombolezea kakake? Mie naamini kwenye kuhesabu baraka zangu. Tena baraka ndogondogo like a roof over my head, food on my table, afya njema, friends and family who make me laugh, unajua nikianza sitomaliza. He is just one person who went A.W.O.L! for pity's sake
Ahahahah..Hapo mimi sipo.Si umuulize tu kama unamfikiria bro Chris Lukosi
Wewe umeelewa mada au na wewe ni diaspora anaekurupuka tu
True story is,this shot had happened to me for real wakati mwingine huwa nafikiri wamemloga braza
Jina lake linaanzia na A na Anatoka state flani Marekani with an MI
so find out for yourself
Hapa unajitekenya mwenyewe na kujicheka mwenyeweee
na hilo ndio tatizo...mara nyingi watu wakishindwa maisha abroad huwa hawakubali..yaani wataendelea kudanganya km wako vizuri ila unashangaa tu hawasaidii ndugu zao huku bongo kumbe wenyewe wanaishi maisha ya kuunga unga..
huyo kaka yako hana kitu..msamehe tu..
Hapo sasa umenena na haya ndio huyu anayahitaji kusikia kuwa yeye sio wa kwanza na wala hatokuwa wa mwisho na haya ni mapito leo yumo kesho atatoka na kusonga mbele historia haziwezi kufanana ila tu yeye akisikia kama hivi kutoka kwako kuwa kuna kuwa disappointed maishani tena saa nyingine na watu wa karibu uliowaona kama tegemeo naye anapata faraja na kuona kuwa kumbe ni sehemu ya maisha!!!!!!
Jinsi alivyolileta hapa ni kama mtu anayejiona ana mkosi, bahati mbaya au labda hata anaonewa!!!!!
Kimtindo hapo tumeungana sasa kumueleza kuwa.......anaweza kutoboa pamoja na kuwa kaumia kwa yaliyotokea!!!!!!
Toto bishi kama nini!!!!!????
Nina kaka wa damu ughaibuni ila amenitenga na hivyo hatuna mawasiliano mazuri kwa mda sasa.Huyu Jamaa wakati Maza alifariki tulijadiliana aende ughaibuni kwa kuchukua fedha alizoacha marehemu mama kwa ajili ya yeyey na Mimi kusaidiana,sasa amenitenga na ni Kama amenisahau na tunazaliwa wawili tu kwa baba na mama.Naskia hasira na ma chungu nkimkumbuka Jamaa na amenisababisha kuhate all diasporas will all my heart
Wakati mwingine nadiriki kusema wamemloga braza wangu
Ahahaha, mie sio mbishi. Toka mwanzo nimemuambia sio ishuuuu! Yaani huyu ngoja aje aoe, apate msala wa kufukuzwa kazi ama hasara kubwa kwenye biashara. Afu atelekezwe na mke. Ndo atajua huyo bro wake wala haumi wala kung'ata!
uache ubishi kaka, khaa!
Usilaumu mkuu, pengine kaka amekwama. Maisha ya nje si kama unavyoyachukuliaNina kaka wa damu ughaibuni ila amenitenga na hivyo hatuna mawasiliano mazuri kwa mda sasa.Huyu Jamaa wakati Maza alifariki tulijadiliana aende ughaibuni kwa kuchukua fedha alizoacha marehemu mama kwa ajili ya yeyey na Mimi kusaidiana,sasa amenitenga na ni Kama amenisahau na tunazaliwa wawili tu kwa baba na mama.Naskia hasira na ma chungu nkimkumbuka Jamaa na amenisababisha kuhate all diasporas will all my heart
Wakati mwingine nadiriki kusema wamemloga braza wangu