Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

Unauhakika na mwelekeo wa maisha yake kwa sasa? Isijekuwa Yeye Ndio anahtaji msaada na kukumbukwa zaidi
 
Tujiandae na mchango mwinginee tena safarii hii hata kumii haitokii
 
Nina kaka wa damu ughaibuni ila amenitenga na hivyo hatuna mawasiliano mazuri kwa mda sasa.Huyu Jamaa wakati Maza alifariki tulijadiliana aende ughaibuni kwa kuchukua fedha alizoacha marehemu mama kwa ajili ya yeyey na Mimi kusaidiana,sasa amenitenga na ni Kama amenisahau na tunazaliwa wawili tu kwa baba na mama.Naskia hasira na ma chungu nkimkumbuka Jamaa na amenisababisha kuhate all diasporas will all my heart
msimtenge tu wasije wakamlukindo. Unajua tena majuu maisha yako juu
 
huyo kaka yako hana hata mahali pa kulala, kula yake ya shida unafikiri atakukumbuka kweli.. madiaspora wanaishi kama digidigi kiufupi wana maisha magumu sana usishangae siku atakutafuta na kukupiga mzinga hata wa buku
 
Pole sana dogo, usisikie hasira coz hujui yuko kwenye hali gani. Yawezekana bado hajafanikiwa ndomana mawasiliano sio mazuri kati yenu.
Ila kama angekuwa na kawaida ya kurudi na kufanya matanuzi bongo alafu anaondoka katika mazingira ambayo huyaelewi hakika ungekuwa sahihi hata kumchukia. So just spare him a time, no matter how long it will take but one day yes na utayasahau yote haya. Damu ni nzito kuliko maji
 
Na wewe si umtenge?!

cc Kiranga

Kuna ujinga fulani wa utegemezi unaenea sana.

Hakuna namna nzuri ya kuweza kuendelea kama ile ya kutengwa na ndugu zako.

Kutengwa na ndugu ni bahati ya mtende ambayo wajaaliwa wachache tu dunia hii wanaweza kuipata.

Namuonea donge mleta mada kwa kupata bahati hii iliyoje ya kutengwa na ndugu, wengine hatujaipata vilivyo bahati hii.

Sasa ni muda wake wa ku prove kwamba anaweza kufanya mambo bila ya msaada wa ndugu.

Mimi moja ya sababu iliyonifanya niondoke Tanzania ni kukataa habari ya kuendesha baskeli yenye "training wheels" za kuwa karibu na macho ya ndugu yanayoweza kumfanya mtu abweteke, nimejikita huku mbaaaali na ndugu, ni mwendo wa discipline tu, one mistake ten goals. Having said that, nina keep in touch na nyumbani na kusaidia kadiri ninavyoweza. Why not? Kipato cha wiki mbili kinamlipia mtu mwaka mzima wa chuo.

Tukirudi kwa huyu mtoa mada, anatakiwa agangamale aitoe halafu ajue kwamba anaweza bila msaada wa ndugu.

Waswahili walisema "Mtegemea cha ndugu, hufa masikini"

Na pia "Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba".

Kujitegemea ndio mpango mzima.
 
Last edited by a moderator:
Hawa watu huwa wana matatizo saana, bro yuko pale London toka 2004 kwa sasa ni associates prof huko majuu ila hajawahi kutuma hata khanga kipande kwa mom wala anunue shati akate mikono atume kwa mdogo wake..!! Duh!!

Mother kaweka nadhiri na utabiri kama wa joshua kwamba prof lazma atarudi nyumbani punde akiwa majalala...tunasibiri tuone!! Maana naskia maza ni mungi wa pili!!
 
Una lako jamboo wewee naona mnakuja na style nyingii na badoooooo,sie wengine tuna ndungu zetu huko wanatujaliii sanaaa, kwa hiyo huyo kaka yako ni roho yakee tu kama marehemu Lukindo

Nafikiri wewe una matatizo Kama jina Lako,nachoongea Hapa it's life based true story na siyo some mere joke Kama unavyoiweka
 
Kuna ujinga fulani wa utegemezi unaenea sana.

Hakuna namna nzuri ya kuweza kuendelea kama ile ya kutengwa na ndugu zako.

Kutengwa na ndugu ni bahati ya mtende ambayo wajaaliwa wachache tu dunia hii wanaweza kuipata.

Namuonea donge mleta mada kwa kupata bahati hii iliyoje ya kutengwa na ndugu, wengine hatujaipata vilivyo bahati hii.

Sasa ni muda wake wa ku prove kwamba anaweza kufanya mambo bila ya msaada wa ndugu.

Mimi moja.ya sababu iliyonifanya niondoke Tanzania ni kukataa habari ya kuendesha baskeli yenye "training wheels" za kuqa karibu na macho ya ndugu yanayoqeza kumfanya mtu abweteke, nimejikita huku mbaaaali na ndugu, ni mqendo wa discipline tu, one mistake ten goals. Having said that, nina.keep in touch na.nyumbani.na kusaidia kadiri ninavyoweza. Why not? Kipato cha wiki mbili kinamlipia mtu mwaka mzima wa chuo.

Tukirudi kwa huyu mtoa mada, anatakiwa agangamale aitoe halafu ajue kwamba anaweza bila msaada wa ndugu.

Waswahili walisema "Mtegemea cha ndugu, hufa masikini"

Na pia "Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba".

Kujitegemea ndio mpango mzima.

Tuko pamoja asilimia 100% tatizo langu ni source ya income aliyotumia kuondoka bongo na pia it's not just ndugu he is my only brother hakuna mwingine.Kuhusu kufight I have been there na bado naendelea with or without him.Tatizo no connections no communication no nothing suppose he dies Kama LUKINDO what will happen will I get to know and How?! au ndo ntaletewa MAITI home au ikiwa mbaya zaidi nsiimuone tena maishani
Ps:We went to school tog and grew up in the same hood and used to be around much for us as a family,where is that all gone,naongea kwa uchungu,hii siyo hekaya msiniquote wrong
 
huyo kaka yako hana hata mahali pa kulala, kula yake ya shida unafikiri atakukumbuka kweli.. madiaspora wanaishi kama digidigi kiufupi wana maisha magumu sana usishangae siku atakutafuta na kukupiga mzinga hata wa buku

Sijui Kama ni sahihi amemaliza masters yake juzi tu hayuko vibaya kiasi hicho Mzee
 
Unauhakika na mwelekeo wa maisha yake kwa sasa? Isijekuwa Yeye Ndio anahtaji msaada na kukumbukwa zaidi

Yuko kawaida kamaliza chuo na yuko katika state flani hapo ughaibuni anafanya kazi since last 2 years
 
Msome dogo hapo,braza kakacha na fungu lake la urithi masiku yanasonga bro anajidai hata simu tu hana muda wa kutwanga!!!

Nashukuru kwa kuielewa mada coz naona watu wengine wana comment bila kuelewa chochote
 
Inawezekana uyo kaka yako ni HOMELESS yuko ana tanga tanga bado hajaseto mpe miaka kama 5 bado mapema sana.

Usichukie mtu bila kujua maswahiba yaliyomkuta pengine yuko jela amefungwa

Ana miaka 10 ughaibuni
 
labda na yeye kafulia ..mimi nawajua watu wengi tu waliopo abroad ambao hata nauli ya kurudi hawana

Hajafulia kuna watu wa namfahamu wanajua status yake na Ana Kama 10 years hivi ughaibuni
 
Tuko pamoja asilimia 100% tatizo langu ni source ya income aliyotumia kuondoka bongo na pia it's not just ndugu he is my only brother hakuna mwingine.Kuhusu kufight I have been there na bado naendelea with or without him.Tatizo no connections no communication no nothing suppose he dies Kama LUKINDO what will happen will I get to know and How?! au ndo ntaletewa MAITI home au ikiwa mbaya zaidi nsiimuone tena maishani
Ps:We went to school tog and grew up in the same hood and used to be around much for us as a family,where is that all gone,naongea kwa uchungu,hii siyo hekaya msiniquote wrong

Lose the attachment.

The attachment will only boggle you down.

Watu wamekimbia.watoto wa.kuwazaa wenyewe, mwishowe watoto wametokea kuwa kina Bob Marley na Barack H. Obama Jr.

Hata vitabu vya dini, from a purely cultural and secular perspective, vimeandika katika Psalms 118:22 "The stone that the builders refused, has become the cornerstone".

Cc: Steve Dii
 
Last edited by a moderator:
Lose the attachment.

The attachment will only boggle you down.

Watu wamekimbia.watoto wa.kuwazaa wenyewe, mwishowe watoto wametokea kuwa kina Obama.

Hata vitabu vya dini, from a purely cultural and secular perspective, vimeandika katika Psalms 118:22 "The stone that the builders refused, has become the cornerstone".

Cc: Steve Dii

images
 
Last edited by a moderator:
aise pole sana ukute umenda kule aka adopt maisha ya kizungu ila mtafute muwe na communiation kule linaweza kutokea lolote na ucwe na habari
 
Hajafulia kuna watu wa namfahamu wanajua status yake na Ana Kama 10 years hivi ughaibuni

na hilo ndio tatizo...mara nyingi watu wakishindwa maisha abroad huwa hawakubali..yaani wataendelea kudanganya km wako vizuri ila unashangaa tu hawasaidii ndugu zao huku bongo kumbe wenyewe wanaishi maisha ya kuunga unga..
huyo kaka yako hana kitu..msamehe tu..
 
Na mie nawajua wengi tu waliopo abroad wana pesa za naulii na huja bongo mara nyingii tuuu
Cc Nyani @ngabu

uko nje ya mada...mtoa mada analalamika kuwa kaka yake amemtenga...nilichoandika hapo ni kumuonyesha kuwa labda hajapata hizo hela kwa kuwa wako wabongo wengi tu abroad wamesota..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom