- Thread starter
- #61
embojo, nataka kukuchallenge tu uuchunguze moyo wako. Angekuwa alichukua hiyo mirathi na kwenda kulima shinyanga na akakata mawasiliano, ungeumia kwa kiasi hichi? OLESAIDIMU, ungeichukuliaje hii? Ungekuwa worried kama jamaa yuko ok na anapata hata mlo ama?
Hivi Kama hii Ishu ingekutokea wewe ungefanyeje maana hata maswali yako naona yananichanganya zaidi ukizingatia mama alifariki tu na kila kitu akiondoka nacho,nimestruggle Nimesoma na kumaliza chuo na bado napambana ingawa ajira ni Ishu,so usidhani nimelala tu
Last edited by a moderator: