Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

Kaka yangu wa ughaibuni amenitenga

Una lako jamboo wewee naona mnakuja na style nyingii na badoooooo,sie wengine tuna ndungu zetu huko wanatujaliii sanaaa, kwa hiyo huyo kaka yako ni roho yakee tu kama marehemu Lukindo

Umerudi lini bongo?
 
kama umejaribu kuwasiliana naye bila yeye kurudisha majibu. achana naye wewe angalia maisha yako tu....kama yeye itatokea na kukutafuta hapo sawa.yeye kanwaga ugali wewe mwaga mboga@embojo
 
Nina kaka wa damu ughaibuni ila amenitenga na hivyo hatuna mawasiliano mazuri kwa mda sasa.Huyu Jamaa wakati Maza alifariki tulijadiliana aende ughaibuni kwa kuchukua fedha alizoacha marehemu mama kwa ajili ya yeyey na Mimi kusaidiana,sasa amenitenga na ni Kama amenisahau na tunazaliwa wawili tu kwa baba na mama.Naskia hasira na ma chungu nkimkumbuka Jamaa na amenisababisha kuhate all diasporas will all my heart

box limegomesha mkuu.wengi wetu huamini box halidanganyi but safari hii naona limegomesha.jipange upya mkuu
 
Gangamala

Achana na kutegemea ndugu

Hata kama ulitoa sehemu ya urithi wako ni mwenyewe ulishindwa kujipanga kutimiza ndoto zako ukatimiza za mwenzio


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
na hilo ndio tatizo...mara nyingi watu wakishindwa maisha abroad huwa hawakubali..yaani wataendelea kudanganya km wako vizuri ila unashangaa tu hawasaidii ndugu zao huku bongo kumbe wenyewe wanaishi maisha ya kuunga unga..
huyo kaka yako hana kitu..msamehe tu..

Wote Mimi na wewe tuko bongo so hatujui kinachoendelea,lets wait and see
 
Usilaumu kabla hujajua huko alipo hali ikoje.., sio kila anayekwenda nje anafanikiwa huko maisha nayo ni magumu, pia sometimes lawama zetu na over-expectations ndizo zinazompelekea mtu kukata mawasiliano sababu kila mkiwasiliana au akirudi ni lawama mwanzo mwisho

amesem alienda kuchukua ela ya bmkubwa sio kuhastle kwa yy mwenyewe,elewa taarfa kdgo
 
ukisikia dereva kakimbia na ela ya boss ndo huyo sasa,alikuwa hakupendi 2,ila kaza
 
mkuu bado mpaka karne hii unapigia mahesabu vya urithi we msamehe tafta vyako pambana usiwe kama wale watoto wa chama flani wanaombea washua wao wafe wapewe kiti
 
huenda bado hajafanikiwa, na pengine anataabika kuliko unavyodhani.
 
Ulishawaza kama huo urithi usingekuwepo maisha yangekuwaje?! Kama wangezaliwa na baba maskiniii, afu akawaacha hapo na bro akazamia meli afu akakata communication? Aisee mie unachonipa narudisha mara milioni. Ukinipa upendo nakupenda hadi uombe poo. Ukinishit mara moja ntakushiti hadi ujishangae. Ntaumia ofcoz lakini siwezi kuumia mwaka mzima. Najua nikiwapa nafasi wanaonizunguka watanipenda pengine kuliko wewe unaenishiti! Maisha marahisi haya jamani, acheni ngebe!
Msome dogo hapo,braza kakacha na fungu lake la urithi masiku yanasonga bro anajidai hata simu tu hana muda wa kutwanga!!!
 
My dear, kama ni muamini utajua unao kaka wengi na dada wengi wanaokujali na kukupenda. Focus, fight utoke kivyako na enjoy mapendo. Kama akifa kwa kuchagua kukutenga achana nae, siku akitokea mpokee kwa upendo tuu na usiulize. Si ajabu analala kanisani ama kwa homeless pple aisee. Usimhukumu manake nawe utahukumiwa. Muombe Mungu amtunze na ampe furaha, na akupe furaha nawe pia.
Tuko pamoja asilimia 100% tatizo langu ni source ya income aliyotumia kuondoka bongo na pia it's not just ndugu he is my only brother hakuna mwingine.Kuhusu kufight I have been there na bado naendelea with or without him.Tatizo no connections no communication no nothing suppose he dies Kama LUKINDO what will happen will I get to know and How?! au ndo ntaletewa MAITI home au ikiwa mbaya zaidi nsiimuone tena maishani
Ps:We went to school tog and grew up in the same hood and used to be around much for us as a family,where is that all gone,naongea kwa uchungu,hii siyo hekaya msiniquote wrong
 
embojo, nataka kukuchallenge tu uuchunguze moyo wako. Angekuwa alichukua hiyo mirathi na kwenda kulima shinyanga na akakata mawasiliano, ungeumia kwa kiasi hichi? OLESAIDIMU, ungeichukuliaje hii? Ungekuwa worried kama jamaa yuko ok na anapata hata mlo ama?
 
Last edited by a moderator:
Tuko page moja business partner aka fellow consultant hahaha. Yaani wewe kisasi chako kama changu. Tena motivation kubwa kwangu is when nobody expects me to make it. Huyo kaka dawa yake akirudi akukute umeshatangulia balaa, afu hakuna kumuuliza wala kujadili.unampa 'im glad you are ok, that is all that matters'.
Kuna ujinga fulani wa utegemezi unaenea sana.

Hakuna namna nzuri ya kuweza kuendelea kama ile ya kutengwa na ndugu zako.

Kutengwa na ndugu ni bahati ya mtende ambayo wajaaliwa wachache tu dunia hii wanaweza kuipata.

Namuonea donge mleta mada kwa kupata bahati hii iliyoje ya kutengwa na ndugu, wengine hatujaipata vilivyo bahati hii.

Sasa ni muda wake wa ku prove kwamba anaweza kufanya mambo bila ya msaada wa ndugu.

Mimi moja ya sababu iliyonifanya niondoke Tanzania ni kukataa habari ya kuendesha baskeli yenye "training wheels" za kuwa karibu na macho ya ndugu yanayoweza kumfanya mtu abweteke, nimejikita huku mbaaaali na ndugu, ni mwendo wa discipline tu, one mistake ten goals. Having said that, nina keep in touch na nyumbani na kusaidia kadiri ninavyoweza. Why not? Kipato cha wiki mbili kinamlipia mtu mwaka mzima wa chuo.

Tukirudi kwa huyu mtoa mada, anatakiwa agangamale aitoe halafu ajue kwamba anaweza bila msaada wa ndugu.

Waswahili walisema "Mtegemea cha ndugu, hufa masikini"

Na pia "Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba".

Kujitegemea ndio mpango mzima.
 
mkuu bado mpaka karne hii unapigia mahesabu vya urithi we msamehe tafta vyako pambana usiwe kama wale watoto wa chama flani wanaombea washua wao wafe wapewe kiti

Wewe umeelewa mada au na wewe ni diaspora anaekurupuka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom